Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi?
Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu...
1. Baba Mbabe alikuwa hamshirikishi na huenda hata alitamani Kuachana nae.
2. Ushauri wake ulikuwa ukipuuzwa na kudharauliwa na Baba.
3. Hali ngumu ya Maisha imemkwaza Mama japo Baba aliona...
MAMA SAMIA SULUHU UMEANZA VIZURI MNO, UKITIMIZA HAYA HAKIKA ENZI YAKO HAITASAHAULIKA
Na Emmanuel Kasomi
Kila mtu ni yeye, ameumbwa kwa fikra na vipawa tofauti kabisa na hakuna kama yeye Duniani...
JWTZ na Wizara yao mama ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa wameonekana kuaminiwa sana na mheshiwa rais Magufuli, lakini katika hali ya kushangaza hawa jamaa nao wamegeuka kuwa wakiukaji wa...
naomba kujua kuanguka kwa shilingi na ukuaji wa uchumi wetu kuna mahusiano gani na ukuaji wa uchumi .mimi najua shilingi ikianguka na uchumi unakuwa umeanguka? je usahihi wake uko wapi kwa wale...
Mambo sasa yanaanza kujianika kwenye mkeka wa uhakika. Ukweli unauzidi nguvu uongo kama mbegu inapochomoza kwenye udongo. Ukweli unaanza kutamalaki kama mashabiki kindakindaki au mwalimu na chaki...
Nimekua mfuatiliaji mzuri sana wa siasa zetu, nimefuatilia pia mijadala mbalimbali hususan kuanzia mwaka 2015 mpaka majuzi tulipopatwa na Msiba wa kuondokewa na aliyekua Rais wetu.
Katika...
Madai haya mapya yametolewa mahakamani jijini Mbeya , ambako Mdude Nyagali anaendelea kujitetea dhidi ya tuhuma za uongo alizobambikiwa kinyama za madawa ya kulevya .
Mdude amedai mbele ya...
Kuna watu baada ya Rais na Amiri jeshi mkuu Mh SSH kuanza uteuzi wa viongozi mbalimbali kuna watu roho zimewauma sana na wanatumia watu sana ili wamchafue Rais wetu kipenzi,
Kuna watu hawakutaka...
Watumishi wa umma wanamaumivu makubwa mioyoni mwao sio siri, hata kama kipaumbele ilikuwa kumaliza kwanza mambo ya msingi kama ujenzi wa miundo mbinu, kuimarisha sekta ya afya na elimu lakini...
Habari wana jamvi,
Haya ni maoni yangu, kwa yale yote yanaondelea ndani ya siasa za Bongo, niweke wazi mie sio mlengwa wa chama chochote bali mwananchi mwenye maoneleo fulani juu ya siasa.
Kwa...
Ripoti ya Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu za serikali (CAG) mwaka 2019/2020 imesomwa na inaendelea kujadiliwa bungeni...
Hali ni mbaya sana. Karibu kila wizara na taasisi/mashirika ya umma ni...
Baadhi ya wadanganyika wananifanya nijuilize maswali mengi sana kwa jinsi wanavyoonekana kurubuniwa na propaganda za wanasiasa kiasi kwamba wanaonyeaha kuwa ni watu wasio na uwezo wa kufanya...
Naomba tujiulize vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimeshindwa kuingilia kati huu uchafuzi wakisiasa unaofanywa na viongozi waandamizi wakisiasa?
Hatuwezi kuwa na Taifa ambalo viongozi leo Wana...
Ukimsikia anavyo lalamika na kuongea kwa uchungu unaweza fikiri ndie Rais aliepewa mzigo mkubwa kuliko wote katika historia ya Tanzania kumbe sivyo kabisa
Kama Rais Ally Hassan Mwinyi angekuwa na...