Kama Tsh 300 billions zikitolewa na Serikali kwa Wananchi

F100 Maziwa Mazito

JF-Expert Member
Jul 31, 2020
209
500
Kama Tsh 300 billions zikitolewa na serikali kwa wananchi kwaajili ya kupunguzia watu ukali wa maisha, kuziba pengo la ajira angalau kwa uchache, kuhamasisha biashara pamoja na kuchochea uchumi, serikali itapunguza majuto na nchi itapoteza lawama kwa watu wake.

Sijui risks za hili jambo, sina mifano ya serikali za Africa ambazo zimewahi fanya hili jambo, ila kuna serikali za watu weupe zimewahi fanya hili jambo, hakika linaonekana kuwa jambo jema, why Serikali zetu zinakwepa hili jambo?

Kwasababu tatizo la ajira halikwepeki, umaskini bado upo, sababu zipo nyingi za kufanya hiki kitu, but kwanini serikali hailioni hili? Mtu anaweza fanya biashara akiwa nje ya mipaka yake ili amudu maisha yake. Nchi ndogo za waarabu zinafanya hili kila baada ya muda fulani, kwann Tanzania hatulioni hili, mama samia, Angalia hili jambo kwasababu hutoweza kuajiri watu wote wasio na ajira.

Tutenge makundi makundi ili tupate sifa za watu watakao pata hiyo ruzuku, tupewe masharti kidogo tu, nawambieni uzalendo wa nchi yetu utaongezeka sana, hutaona mtu anaibwatukia nchi yetu hovyo wala kuisemea mabaya. Nakutakia utekelezaji mwema mama.
 
S.M.P2503

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
838
1,000
Kufanya hivyo maana yake ni kuongeza inflation na ikiongezeka thamani ya shillingi inapungua na hivyo purchasing power pia itakuwa mgogoro mkubwa.

Ita - encourage watu kuwa tegemezi zaidi, kukinga bakuri kwa sana na sidhani kama serikali ya SSH itayafanya hayo, labda Kama unawapimia upepo.

Kumbuka wakati wa Mzee Ruksa hali ilivyokuwa, labda kama HU kuwepo, lakini fedha yetu ilikuwa kidogo tu ifikie mahali kujaa kapuni kwa mkate mmoja...hali hiyo usiombee ndugu, vibaka watazidi mtaani.
 
Inflation kwa 300billions kwa kutoa funds
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
6,630
2,000
Kama Tsh 300 billions zikitolewa na serikali kwa wananchi kwaajili ya kupunguzia watu ukali wa maisha, kuziba pengo la ajira angalau kwa uchache, kuhamasisha biashara pamoja na kuchochea uchumi, serikali itapunguza majuto na nchi itapoteza lawama kwa watu wake.

Sijui risks za hili jambo, sina mifano ya serikali za Africa ambazo zimewahi fanya hili jambo, ila kuna serikali za watu weupe zimewahi fanya hili jambo, hakika linaonekana kuwa jambo jema, why Serikali zetu zinakwepa hili jambo?

Kwasababu tatizo la ajira halikwepeki, umaskini bado upo, sababu zipo nyingi za kufanya hiki kitu, but kwanini serikali hailioni hili? Mtu anaweza fanya biashara akiwa nje ya mipaka yake ili amudu maisha yake. Nchi ndogo za waarabu zinafanya hili kila baada ya muda fulani, kwann Tanzania hatulioni hili, mama samia, Angalia hili jambo kwasababu hutoweza kuajiri watu wote wasio na ajira.

Tutenge makundi makundi ili tupate sifa za watu watakao pata hiyo ruzuku, tupewe masharti kidogo tu, nawambieni uzalendo wa nchi yetu utaongezeka sana, hutaona mtu anaibwatukia nchi yetu hovyo wala kuisemea mabaya. Nakutakia utekelezaji mwema mama.
Kinachotakiwa ni serikali kulipa madeni ya secta binfsi kwa wakati wengi hawakulipwa na hawajalipwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom