Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mjadala uliyoshika akili za watu kwa sasa ni faida na hasara za kuendelezwa kwa Ujenzi wa Mradi wa Bandari ya Bagamoyo. Maneno hofu imekua kubwa juu ya yaliyomo katika mkataba wa mradi huu...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Katika uislamu mkopo si jambo la heri. Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza...
22 Reactions
174 Replies
15K Views
Mh. Rais Magufuli atuongezee mishahara watumishi. Mwaka wa fedha 2016/2017 umeshaanza lakini watu atujaongezewa ata tshs. 10...Watumishi tulimpigia kura kwa wingi kwasababu tulijua ni mchapa kazi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ndugu, wakati umefika Sasa wa Kubadilisha katiba ya Zanzibar Kuondosha ukomo wa Urais kwa upande wa Zanzibar. Nashauri Rais aliyopo Sasa aendelee kuingoza Zanzibar hata kipindi chake Cha miaka...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
UCHAMBUZI WA ACT WAZALENDO KUHUSU RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA UNAOISHIA MWEZI JUNI 2019/2020 Tunalipia Gharama za kuendesha Nchi Gizani...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwanza Nimesikitika Kushuhudia Kuna viongozi wateule wa Hayati JPM wamefanya Alliance na kina Mbowe Ili Kuchafua Kazi tukufu iliyofanywa na JPM...(rejea takataka za CAG na Press ya Mbowe Jana)...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwa siku kadhaa pamekua na mjadala mkali sana juu ya ripoti ya CAG iliyoanika madudu mengi ya matumizi mabaya na ya hovyo kabisa ya fedha za Umma. Katika mjadala huo, viongozi, wafuasi na...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Siyo siri TRA imekuwa ikitumika kuwakomoa wafanyabiashara wengi. Sasa mmeanikwa. Ukiwa mfanya biashara halafu mpinzani kama Mbowe, basi vijimemo "toka juu" ndiyo vinashughulikiwa kwa "weledi wa...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Waziri amenukuliwa akisema; "Matengenezo yakamilike, sitaki kuona kuna mgao wa umeme, matengenezo yakamilike hali ya umeme irejee kama kawaida" Pia soma >TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupamabana na Rushwa (Takukuru) imesema imekamilisha faili la uchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania...
7 Reactions
43 Replies
5K Views
Wana wa Tanzania, Je, uhuru wa wa vyombo vya habari na uhuru wa kutoa maoni ndio umerudi rasmi nchini Tanzanai? Watanzani wa huku kitaa wanamwita rais wetu mpya kwa jina maarufu kuwa ni mama...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Utalii ni miongoni mwa sekta za kiuchumi zilizokumbwa na changamoto ya ukuaji kwa mwaka 2020/21 kutokana na janga la COVID19 Ametaja baadhi ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nawasalimu katika jina la Muumba. Kila Rais anapotamka jambo, au kipindi kingine anapogusia mada fulani kwa maoni au hata kutoa ushauri siku chache mbele Waziri mwenye dhamana na mada husika...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Rais Magufuli anasema kama mtu anataka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM yeyote aliyevaa kijani. -- MAONI YANGU Mimi najiuliza, je wananchi wanaovaa kaki hawana haki ya kulindwa...
87 Reactions
226 Replies
23K Views
Next time nimshauri Zitto na wanasiasa wengine kufanya timing unapotaka kufanya kazi na jamii. Leo tunakosa uchmbuzi wa comments za ACT Wazalendo kuhusu CAG report kwa Sasa Mbowe kateka media...
12 Reactions
52 Replies
5K Views
Zitto ambaye ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, alidai kuwa hali hiyo mbaya fedha kwa Serikali imesababisha watumishi wake pamoja na wabunge kutolipwa mishahara hadi jana Mei 7, 2011. Akizungumza na...
1 Reactions
233 Replies
19K Views
Utumishi wa Umma unaongozwa na Sheria ya Utumishi wa Umma Na.8 ya 2002, Kanuni za Utumishi wa Umma za Mwaka 2003, Sera ya Menejimenti ya ajira katika Utumishi wa Umma ya Mwaka 1999 pamoja na...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Tulipata mapokeo ya Sheria ya uhujumu uchumi bila kuangalia mazingira yetu, sasa inatumika kupora wala mali na Uhuru wao kwa kuondoa dhamana. Kosa la uhujumu uchumi limerahisishwa sana na nchini...
12 Reactions
35 Replies
5K Views
Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi. Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima...
14 Reactions
190 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…