Mchechu, What goes around comes around

Mchechu, What goes around comes around

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,666
Reaction score
290,399
Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizi hizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .

Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa?

......Tafakari sana mjomba .
 
Hivi Watanzania tutaacha lini ujinga? Siasa zimetupimbaza kiasi cha kutoona makosa ya wakubwa wa vyama vyetu,?

Je, angekuwa mwanaccm ungemtetea hivyohivyo ? Mbona tumekabidhi akili zetu kwa wanasiasa?
Kama ungejua kwanini sakata hili limeanza September 1 usingethubutu kuandika ulichoandika , stay tuned .
 
Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizihizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .

Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa ?

......Tafakari sana mjomba .
Dua la kuku hilo
Hapa kazi tu,mwambie kama ameona kaonewa akimbilie mahakamani,atarudishwa tuuu
 
Hivi Watanzania tutaacha lini ujinga? Siasa zimetupimbaza kiasi cha kutoona makosa ya wakubwa wa vyama vyetu,?

Je, angekuwa mwanaccm ungemtetea hivyohivyo ? Mbona tumekabidhi akili zetu kwa wanasiasa?
Jumuiya ya wazazi ccm chini ya bulembo ilitolewa nje vitu vyake wakalipa wakarud,taasisi za serikali zimeshafanyuwa hivyo Who is mbowe!..kaa mbali na mchechu kawa mchachu deni had lina 1b alikuwa nafanya biashara ya nini bila kulipa pango..!tusione akam viongozi ni malaika na wao wana madudu yao.!na sio busara kila hatua inayochukua serikali dhid ya mwanasiasa ina uhusiano na siasa chafu.!
 
Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizihizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .

Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa ?

......Tafakari sana mjomba .
Najiuliza kweli Mbowe akae ndani ya NHC bila kulipa na anajua yuko upinzani , active upinzani (siyo Cheyo na Mrema) afanye vitu vya hovyo namna hiyo! Time will tell! Ila Mchechu tusimlaumu kapewa agizo, suppose if it were you, what would you have done?
 
Swala la Mbowe na NHC ni swala la kibiashara na litakwisha kwa taratibu za mkataba ama sheria.

Kwa vyovyote vile Mbowe anawajika kulipa kodi ya pango na kama anaona mpangishaji kakiuka sheria adai haki yake mahakamani.
 
Lisemwalo lipo.
Kuna tetesi Mchechu ana maslahi binafsi katika hili.[HASHTAG]#Kupalilia[/HASHTAG] kibarua kisiote nyasi.
 
Kama kutimuliwa kwake kuna a political motives behind, then karma itamtake care Mchechu kwa formula ya "what goes around comes " will apply, lakini kama NHC wamemtimua tuu katika normal regular operations za kuwatimua rent defaulters, then NHC inatimiza wajibu wake kwa haki and nothing will come around! .

Pasco
 
Gosh.....Mbowe amepotoka

Unapokuwa mwenyekiti wa chama mbadala kinachotaka kupewa dola unapaswa kuwa safi

Makandokando haya hapaswi kuwa nayo Mbowe

Tutamtetea weeee...lakini it wont make sense.....

Mbowe is already tired...anakoelekea reputation yake mbaya sasa itakiharibu chama au itazidi kukiharibu chama

cc Pasco
 
Nonsense yani mtu anayejidai anatetea maisha ya watu wa chini ndio halipi kodi. kila week anaingiza hela kibao pale arafu anagoma kulipa kodi. no way.

Unauhakika anadaiwa?Wamekuonyesha proof kwamba wanadeni?Kama hawajatoa proof basi usishabikie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom