Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Kilwa amesema mkurugenzi wa halmashauri ya Kilwa anajifanya mungumtu na anawadharau viongozi wote wa wilaya hadi mkoa. DED ametukana madiwani mbunge na mkuu wa mkoa tena anatamba kuwa...
6 Reactions
50 Replies
6K Views
Ndugu Tundu Lissu, ingawa yuko CHADEMA na mimi CCM, ni zaidi ya rafiki kwangu. Nimemzidi umri na uzoefu katika siasa lakini amenizidi maarifa ya kisasa. Lissu nipo naye kwenye shida na raha...
57 Reactions
93 Replies
8K Views
Serikali ya Tanzania imeshinda Kesi hii iliyofunguliwa na Familia ya Valambhia nchini Marekani. Mahakama imeona kuwa Wameshindwa kuthbitisha kuwa shughuli zinazohusisha Mkataba wa Kampuni ya...
15 Reactions
133 Replies
19K Views
Kwa uchunguzi wangu nimestukia maamuzi haya kwa sababu kama ni ubadhirifu ulianza zamani wakati Aweso akiwa Naibu waziri, kwa nini hakuona tangu zamani? Umbea wangu hatimaye umeangukia pazuri...
0 Reactions
1 Replies
923 Views
Mjane na Watoto wa Vdevram Purshotam Valambhia waliishtaki Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani. Walitaka kulipwa dola 64,500,750 kutokana na Mkataba wa ununuzi wa vifaa vya kijeshi...
6 Reactions
40 Replies
6K Views
Ni kweli kabisa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayo mamlaka ya kuvunja bunge na kisha kuitisha uchaguzi. Sababu za kuvunja Bunge na kuitisha uchaguzi zipo ibara ya 90 ya Katiba ya...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
JAJI Mkuu, Mohammed Chande Othman, amesema Mahakama Maalumu ya Uhujumu Uchumi na Ufisadi itaamua kesi kwa muda usiozidi miezi tisa na kwamba itaanza na majaji 14. Aidha, wameandaa kozi maalumu...
1 Reactions
73 Replies
6K Views
1. Hakuna wazo jipya lolote ambalo wamewahi kutoa lenye tija na manufaa kwa wananchi. 2. Kila kinacholetwa na serikali hupita bila kikwazo chochote hata kama hakina manufaa. 3. Kwenye suala la...
0 Reactions
5 Replies
835 Views
Tanzania itajengwa na wazalendo, Natumaini ndugu zangu mnaendelea vema na majukumu yenu. Kwa Sasa Vyama vya upinzani Tz inabidi watumie huu muda kujikita ktk mizizi kabisa kwa wananchi. CCM...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Hawa ndio wapinzani bwana! Wakati wapinzani wakikesha mitandaoni kumchafua na kumkejeli Magufuli, kiongozi wa ngazi za juu wa CHADEMA ameibuka na kusema anayoyafanya Magufuli ni sera za CHADEMA...
1 Reactions
56 Replies
9K Views
Wanabodi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli alifanya ziara ya siku mbili visiwani Zanzibar kati ya Septemba 3 na 4, 2016. Septemba 3 alikuwa kwenye uwanja wa Gombani...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Hata siku moja hutasikia kamwe kuna Mpango au Bajeti imepingwa na imesababisha mjadala mzito na wenye manufaa kwa wananchi. Jana usiku nikaamua kufuatilia kilivyokuwa kipindi cha bunge - yaani...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Awamu ya tano ilimalizia kuiua CCM iliyokuwa tayari imepigwa jembe la mgongoni na Edward Lowassa alipohamia Chadema. CCM ya kweli haiwezi kuwa na viongozi aina ya Mh. Polepole na Mh. Bashiru kama...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
Naibu waziri Katambi amefanya ziara katika Machinjio ya kisasa ya ng’ombe yaliyopo katika kata ya Ndembezi na kuonesha kutoridhishwa na ujenzi wa machinjio hayo yenye gharama ya Shilingi Bilioni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Panga, pangua ya Mama Samia ndo habari ya mjini. Katika awamu zilizopita, nafasi nyingi sana za kiutendaji walipewa makada wa CCM pamoja na wa vyama vya upinzani ( Anna Mngwira RC Kilimanjaro...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu Waandishi wa Habari, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza mnamo tarehe 19/04/2021 imemkamata aliyekuwa Mhasibu wa Mamlaka ya Bandari Kigoma Bw. Madaraka Robert...
2 Reactions
29 Replies
6K Views
Salaam wana JF, Kama heading inavyojieleza kuna kiasi cha pesa kinachokatwa kwenye kila gari inayoingizwa nchini kupitia bandarini, labda na kwingineko kinaitwa railway levy. Mimi kwa uelewa...
1 Reactions
4 Replies
850 Views
Kama alivyosema Katibu Mkuu wa CCM Dr Bashiru kwamba Dr Magufuli ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Magufuli ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda...
7 Reactions
70 Replies
5K Views
Darsa kidogo! Kuna Mijadala mingi inaendelea kila kona ya nchi tokea taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali, CAG (Controller and Auditors General) itolewe hadharani...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…