Mwendazake alitumia muda mwingi kuwatukana wengine, sasa ni malipo yake

Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
6,305
10,564
Heshima yenu wakuu

Kinachotokea kwa sasa mitandaoni, bungeni na mitaani ni matokeo yaliyopandwa na mwendazake.

Bungeni kuna mmyukano mkali, mitandaoni ndio hakufai.

Wapo wanaomponda mwendazake na wapo wanaomsifia.

Jambo moja la kuweka kichwani ni kuwa mwendazake alipokuwa hai wasifiaji na waimba mapambio ndio walikuwa wengi zaidi hivyo ilizoeleka hivyo.

Wakosoaji walikuwa wachache sana kutokana na vitisho na matukio yaliyokuwanyanaendelea.

Sasa mwendazake hayupo jambo ambalo linaibua kila kukicha idadi ya wapondani na wakosoaji wa mwendazake huku idadi ya waimba mapambio ikishuka kwa Kasi kubwa.

Waimba mapambio watakaobaki wanafahamika kwani ni wale waliopewa nafasi kwa upendeleo kama vile baadhi ya wabunge ambao wanajua Kabisa bila ya mwendazake wasingekuwa bungeni.

Mwendazake alishawakashfu baadhi ya watangulizi wake kwa maneno ya dhihaka na kejeli.

Mwendazake ndiye aliyeanzisha Tabia ya kudhalilisha viongozi wa Umma na kuwatusi.

Wapo walioitwa WAPUMBAVU mbele za halaiki.

Wapo walioitwa VILAZA mbele za Umma.

Wapo walioitwa MAJIZI na Majambazi mbele za watu

Wapo walioitwa VIBARAKA mbele ya Kamera

Wapo walioambiwa WANANJAA akiwepo Kaka Pascal Mayalla humu

Wapo aliosema kuwa hawapaswi kuishi mbele za watu na kweli walijeruhiwa na wengine kupotea

Sasa ni zamu yake na ashukuru hayupo maana kama angekuwa hai huo mwaka 2026 + ndio ungekuwa mbaya kwake zaidi

Kweli Karma is real
Malipo ni hapa hapa duniani

Watered I wake jambo moja wasilolielea ni kuwa Kadiri wanavyomtetea hakika madhara Hayat’s waache salama, wanajiwekea alama kwenye nyuso zao ili iwe rahisi kupewa stahiki zao, na watapewa tuu mpaka mwaka 2023 kila mtu atakuwa amepokea kamisheni yake

Ni bora Hawa raia wa kawaida na wanaharakati mitandaoni ndio wawe mstari wa mbele kujibu mashambulizi lakini kama unacheo iwe mbunge au mkuu wa mmoja au Wilaya au cheo chochote ni Bora ujikalie kimya tuu

Vinginevyo uzi huu utaukumbuka 2023 ukiwa na familia yako baada ya kupokea kamisheni ya malipo ya mwendazake

Endeleeni Kudemka
 
Nilishasema na ninarudia kusema tena; alichokuwa anakijua vizuri na kukitendea haki huyo mwendazake ni kudharirisha wenzake majukwaani.

Hilo alilifanya kwa weledi uliotukuka kila awapo mbele ya kipaza sauti jukwaani and honestly to me, that's his only fuucking LEGACY if any at ALL.
Awamu ya tano hakika tulikua na GALASA Ikulu.
 
Wateule wa mfalme
GWAJIMA SLIDER_1.jpg
 
Legacy hiyooo
Legacy kwiooo, nacho shangaa alisema anapambana na ufisadi ila nashangaa UDART ( Mwendokasi) mabasi yanapungua ila pesa haionekani inapo kwenda. Alikuwa anapambana na ufisadi kweli au wapinzani na matajiri ?
 
... ndio maana Mama anakwepa kuita uongozi wake awamu ya tano japo kuna kila "ufafanuzi" unatolewa kujaribu ku-justify ni extension ya awamu ya tano. Hakuna mwenye akili timamu akakubali kurithi mavitu ya aina hiyo! Mama asikubali kuirithi; awamu nyake ni ya Awamu ya Sita namwelewa sana Mama.
SASHA yuko smart "upstairs"....nna imani atafanya mapinduzi makubwa ukizingatia binafsi yeye mwenyewe alishachoshwa na uharo wa mwendazake na inasemekana alitaka kujiudhuru mara kadhaa ila wazee wa busara wakamsihi sana asifanye hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Legacy kwiooo, nacho shangaa alisema anapambana na ufisadi ila nashangaa UDART ( Mwendokasi) mabasi yanapungua ila pesa haionekani inapo kwenda. Alikuwa anapambana na ufisadi kweli au wapinzani na matajiri ?

Kwao ndio Legacy
 
Heshima yenu wakuu

Kinachotokea kwa sasa mitandaoni, bungeni na mitaani ni matokeo yaliyopandwa na mwendazake.

Bungeni kuna mmyukano mkali, mitandaoni ndio hakufai.

Wapo wanaomponda mwendazake na wapo wanaomsifia.

Jambo moja la kuweka kichwani ni kuwa mwendazake alipokuwa hai wasifiaji na waimba mapambio ndio walikuwa wengi zaidi hivyo ilizoeleka hivyo.

Wakosoaji walikuwa wachache sana kutokana na vitisho na matukio yaliyokuwanyanaendelea.

Sasa mwendazake hayupo jambo ambalo linaibua kila kukicha idadi ya wapondani na wakosoaji wa mwendazake huku idadi ya waimba mapambio ikishuka kwa Kasi kubwa.

Waimba mapambio watakaobaki wanafahamika kwani ni wale waliopewa nafasi kwa upendeleo kama vile baadhi ya wabunge ambao wanajua Kabisa bila ya mwendazake wasingekuwa bungeni.

Mwendazake alishawakashfu baadhi ya watangulizi wake kwa maneno ya dhihaka na kejeli.

Mwendazake ndiye aliyeanzisha Tabia ya kudhalilisha viongozi wa Umma na kuwatusi.

Wapo walioitwa WAPUMBAVU mbele za halaiki.

Wapo walioitwa VILAZA mbele za Umma.

Wapo walioitwa MAJIZI na Majambazi mbele za watu

Wapo walioitwa VIBARAKA mbele ya Kamera

Wapo walioambiwa WANANJAA akiwepo Kaka Pascal Mayalla humu

Wapo aliosema kuwa hawapaswi kuishi mbele za watu na kweli walijeruhiwa na wengine kupotea

Sasa ni zamu yake na ashukuru hayupo maana kama angekuwa hai huo mwaka 2026 + ndio ungekuwa mbaya kwake zaidi

Kweli Karma is real
Malipo ni hapa hapa duniani

Watered I wake jambo moja wasilolielea ni kuwa Kadiri wanavyomtetea hakika madhara Hayat’s waache salama, wanajiwekea alama kwenye nyuso zao ili iwe rahisi kupewa stahiki zao, na watapewa tuu mpaka mwaka 2023 kila mtu atakuwa amepokea kamisheni yake

Ni bora Hawa raia wa kawaida na wanaharakati mitandaoni ndio wawe mstari wa mbele kujibu mashambulizi lakini kama unacheo iwe mbunge au mkuu wa mmoja au Wilaya au cheo chochote ni Bora ujikalie kimya tuu

Vinginevyo uzi huu utaukumbuka 2023 ukiwa na familia yako baada ya kupokea kamisheni ya malipo ya mwendazake

Endeleeni Kudemka
Wanaomtukana ni machizi na wapumbavu kwani hatawajibu. Kimsingi, wanajitukana wenyewe. Yeye hayupo na wala hatarudi. Kumbaff zenu
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom