Waziri Mkuu anavamia lini ATCL?

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,825
35,827
Mabibi na mabwana tumesikia Waziri Mkuu kuvamia UDART leo tena kazukia SGR.

Vipi kwenye madege yetu? Tupeane habari wakuu. Je, anao mpango wa kutimba chighafla ghafla hapo ATCL pia?

Bila shaka yale mabilioni alivyosema CAG yatakuwa yanamfikirisha naye pia.

Mrejesho tokea ATCL utatupa picha ya uelekeo wa dhati katika jitihada za kumletea mtanzania maendeleo ya kweri kweri.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Ila nchi ilipitia pagumu sana...
images (24).jpeg
 
Back
Top Bottom