Ujumbe kwa bunge: Legacy ya Nyerere na Magufuli ni tofauti na wengine

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,295
2,000
Ni vyema tukaweka kumbumbu sawa.

Unapoongelea legacy usioongelee kijuujuu au kimasihara. Katika nchi hii tunaweza kuongelea legacies mbili muhimu. Yaani legacy ya Mwalimu Nyerere iliyotuwekea maono na miongozo baada ya Uhuru.

Halafu tutaongelea legacy ya Magufuli katika utekelezaji wa maono na miongozo baada ya uhuru ambayo yalikwama kutekelezwa.

Yoyote mwenye kutoa maoni anapaswa kuwa honest na tena asiye na mawaa.

Tukubali au tukatae awamu ya 1 na awamu ya 5 ni awamu muhimu kwa taifa letu na kamwe hadi sasa hatutaweza kuzilinganisha na awamu nyingine.

Tusidilute mada bana.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
3,803
2,000
Ni vyema tukaweka kumbumbu sawa.
unapoongelea legacy usioongelee kijuujuu au kimasihara.
Katika nchi hii tunaweza kuongelea legacies mbili muhimu.
Yaani legacy ya Mwalimu Nyerere iliyotuwekea maono na miongozo baada ya Uhuru.

Halafu tutaongelea legacy ya Magufuli katika utekelezaji wa maono na miongozo baada ya uhuru ambayo yalikwama kutekelezwa.

Yoyote mwenye kutoa maoni anapaswa kuwa honest na tena asiye na mawaa.

Tukubali au tukatae awamu ya 1 na awamu ya 5 ni awamu muhimu kwa taifa letu na kamwe hadi sasa hatutaweza kuzilinganisha na awamu nyingine.
Tusidilute mada bana.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Hapa una hoja yenye mashiko na nguvu mwanangu isipokuwa kwa mafisadi na wale waliozaliwa taahira.
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,295
2,000
Tatizo la watu wengi wanadhani neno legacy ni taaluma ambayo unapata katika chuo? Nasema hapana toka katika fikra hiyo!!!

Neno legacy ni muonekano wa mtu mbele ya watu aliyoishi nao, yani mtu kila kukicha watu wanauwawa ,wanatekwa n.k unataka kusema nini wewe
Kila kukicha watoto wanazaliwa katika vituo vya afya zaidi ya 400 nchini This is what we call legacy.
 
dndagula

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
511
500
Ni vyema tukaweka kumbumbu sawa.
Unapoongelea legacy usioongelee kijuujuu au kimasihara.
Katika nchi hii tunaweza kuongelea legacies mbili muhimu.
Yaani legacy ya Mwalimu Nyerere iliyotuwekea maono na miongozo baada ya Uhuru.

Halafu tutaongelea legacy ya Magufuli katika utekelezaji wa maono na miongozo baada ya uhuru ambayo yalikwama kutekelezwa.

Yoyote mwenye kutoa maoni anapaswa kuwa honest na tena asiye na mawaa.

Tukubali au tukatae awamu ya 1 na awamu ya 5 ni awamu muhimu kwa taifa letu na kamwe hadi sasa hatutaweza kuzilinganisha na awamu nyingine.
Tusidilute mada bana.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Legacy ya Magufuli itajitokeza zaidi kila wapinga falsafa yake watakapoendelea kusema kinyume. Wanachochea moto na kuongeza umaarufu wake marehemu lakini pia wananchi wanapata fursa ya kuchambua pumba na mchele kwa hili. Umaarufu wa aliyoyafanya Hayati umechochewa zaidi na kuondoka kwake ghafla kwa kifo akiacha maendeleo ya uchumi yakistawi. Legacy za kuingiza nchi uchumi wa kati, kufufua shirika la ATCL kwa fedha taslimu, mradi wa umeme wa Rufiji, Serikali na ikulu kuhamia Dodoma, SGR, Serikali ya Wanyonge na Usimamizi wa Raslimali za taifa, kutoyumbishwa na mataifa ya nje ni legacy(urithi)ambazo ni endelevu mno na ni vigumu kufutika. Ninaiona legacy ya Mama Samia kwenye maeneo ya upanuzi wa demokrasia ya uchaguzi huru na haki, katiba mpya, uhuru wa vyama vya siasa,vyombo vya habari na upanuzi wa sekta binafsi na uwekezaji. Uwezeshaji wa biashara na ujasiriamali.
 
der hustler

Member
Aug 5, 2017
19
45
Tatizo la watu wengi wanadhani neno legacy ni taaluma ambayo unapata katika chuo? Nasema hapana toka katika fikra hiyo!!!

Neno legacy ni muonekano wa mtu mbele ya watu aliyoishi nao, yani mtu kila kukicha watu wanauwawa ,wanatekwa n.k unataka kusema nini wewe
ACHA UNAFIKI WEWE. Wakina mwangosi na dr ulimboka walipatw na majanga kipind gan..mnaongea xana shit kwa vitu ambavyo hamjathibitisha wakat huo huo tangibl project alizoziacha JPM mna act as if hamjaona..
 
badison

JF-Expert Member
May 29, 2015
419
500
Tatizo la watu wengi wanadhani neno legacy ni taaluma ambayo unapata katika chuo? Nasema hapana toka katika fikra hiyo!!!

Neno legacy ni muonekano wa mtu mbele ya watu aliyoishi nao, yani mtu kila kukicha watu wanauwawa ,wanatekwa n.k unataka kusema nini wewe

Chacha wangwe yuko wapi?
 
Hero

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
3,144
2,000
Tatizo la watu wengi wanadhani neno legacy ni taaluma ambayo unapata katika chuo? Nasema hapana toka katika fikra hiyo!!!

Neno legacy ni muonekano wa mtu mbele ya watu aliyoishi nao, yani mtu kila kukicha watu wanauwawa ,wanatekwa n.k unataka kusema nini wewe
Mbona ww hujauawa na kutekwa kama mambo yalikuwa mabaya hivyo😂!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom