Nadhani tunahitaji kuwapa nafasi wamama wetu kwenye Wanawake wako smart sana,pia wanashaurika na kusikiliza.upigaji wao siyo wa kutisha sana kama wa wanaume.Namshauri Mh.Raisi ikimpendeza...
Kijana Justine Emmanuel ambaye ni mkazi wa Wilaya ya Ngara mkoani Kagera amefikishwa mahakama ya Wilaya ya Misungwi kwa tuhuma za kutoa lugha chafu dhidi ya Rais Magufuli.
Inadaiwa siku ya Juni...
Ndugu yangu Ali, As-salamu alaykum.
Nakuandikia barua hii ya wazi kwa upendo wangu wa kikamaradi kwako. Nafsi yangu imenisukuma kufanya hivyi kwa muda mrefu lakini msukumo zaidi uliniingia jana...
NIPO DODOMA NAPUMZIKA, NIMESTAAFU SINA PRESHA- BULEMBO
"Nimejifunza vitu vingi tangu nimeteuliwa na Rais, dhamira yangu hasa ninapoelekea kwenye kustaafu nasema wenzetu wanaoendelea kutafuta...
Ilianza tetemeko Kagera, alikwepa wajibu wake kama Comforter in Chief kwa kuwasimanga wananchi kuwa yeye hakuchaguliwa ili alete Matetemeko.
Kukaja tishio la njaa wakati flan - akawatolea...
Kwa sababu Tanganyika iliondolewa kwenye uso wa ramani ya dunia basi kile kinachoitwa " mambo yasiyo ya Muungano" kipo Zanzibar pekee na vinavyobaki vyote ni vya muungano.
Ndio maana Prof Mbarawa...
SIKU 40 BILA MWAMBA: ULITUHESHIMISHA SISI WANYONGE NA MASIKINI,PUMZIKA KWA AMANI JPM.
Katika awamu ya nne ya Rais Mstaafu Kikwete kurudi nyuma hadi Azimio la Zanzibar, Matajiri na Wafanyabiashara...
Tunahangaika sana mara kero mara mauaji mara kulazimishana mtafaruku mkubwa sana ,nahisi ni bora sasa iamuliwe tu na Wabunge tunao wengi sana wakutosha na ziada,tuondoe lile utata Jamhuri ya...
RAIS KAWAPA KITENDAWILI MOROGORO WAKITEGUE.
Leo 00:58hrs 14/02/2021
Je, wakazi wa Morogoro ni wavivu kushindwa kuzika wapendwa wao hadi wapate msaada kwa Abood!?basi lenyewe analolitoa kwenda...
Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imesema ipo tayari kubadili sera na sheria ya vyombo vya habari kulingana na maoni ya wadau wa tasnia ya habari nchini.
Hayo yameelezwa na katibu...
Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Usalama mahala pa kazi (April 28th 2021)
Ni lazima Waajiri wote Nchini kuweka mifumo madhubuti ya Usalama kwa Wafanyakazi wanapokua kazini. Jambo la pili ni...
Kwa sasa Mzee Mangula abaki kuwa Makamu Mwenyekiti ili kumlinda Samia lakini kwa ajili ya ku-manage dynamics za 2025 na unpredictable CCM yenye visa na "uhuni" wa kila aina. Hata hivyo, chama...
Bwana J K ambaye alikuwa akiratibu matukio ya ovyo ametemwa rasmi. Huyu alikuwa kiungo mchezeshaji akiwa anajinasibu kuwa na nguvu isiyomithilika.
Ni habari zinazotia moyo kiasi kuwa kuna dhamira...
Wafanyakazi zaidi ya 543 wa Kampuni ya maua ya Kili Flower ya wilayani Arusha Mkoani Arusha wamejikusanya na kuzua taharuki kwa kuangua vilio hadharani katika ofisi za Tume ya Usuluhisho{CMA} Mkoa...
Ni mwezi mmoja sasa Baada ya kumpoteza JPM Rais wa Awamu ya Tano wa Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Sasa imepita mwezi mmoja na siku karibu kumi na moja kwa Serikali ya awamu ya...
Mtangazaji wa tv nguli nchini Tanzania na Afrika Mashariki, Aloyce Nyanda amesema DC Kasesela wa Iringa alitafsiriwa vibaya na hakuwa na nia ya kutukana.
Nyanda amesema baada ya kuiona ile clip...
Tulitazamia mabadiliko makubwa kabisa wa mfumo wa kiongozi na namna ya kuendesha Serikali katika awamu hii ya sita lakini mambo yameenda visivyo kabisa kwani kuna mabadiliko machache sana...
Kiti cha mwenyekiti wa CCM Taifa kiko wazi baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kinachofuata hivi sasa ni kumsimika Mama Samia Suluhu kuwa mwenyekiti mpya baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Hii...
Habari Wakuu
Serikali inaendelea na mpango wa kuwahamishia watumishi wake Dodoma, ni mpango wake hatuupingi lakini Serikali hii bado haijajiandaa vya kutosha.
Hivi karibuni kuna Taasisi tena...