Anguko kuu la CCM litatokana na kutenganisha kofia ya uenyekiti na Urais

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,415
Wakuu nachofanya mimi ni uchambuzi wangu huru ,TUTAFAKARI!

Ni wazi mabadiliko ya mkuu wa nchi ni hatari na neema kwa makundi mbalimbali maslahi kimaslahi ,Mfano leo wapinzani kwa mara ya kwanza wanapata wasaa wa kutoa dudku duku zao mbazo wasingepata fursa hiyo kwa muongo mzima wa JPM hapo hatujaweka angejiongezea muda.

Mfumo nufaika na magu uko kwenye kipindi kigumu cha kutoisoma ramani ya MAMA kiasi cha kuanza kuhoji uwezo wake wa kushika uenyekiti wakiamini anahitaji kufungwa speed governor ya uhakika kwani za chini chini wanufaika walikuwa wanamdharau mama katika ile falsafa ya kumuiga MAGU kila analoamini.

Iwapo CCM watakosea mama asishike uenyekiti kutakuwa na haya:

1.Mwenyekiti lazima atakuwa kundi nufaika la MAGU hivyo atazua msuguano wa kuzuia utendaji wa mama unamgusa mwana kundi hilo mitandaoni almaarufu kama SUKUMA GANG.

2.Mama na wanufaika wake (anaowatengeneza na TEAM KIKWETE aka CCM Asilia) wataondoka na kinyongo kikaoni wakichukulia ni dharau na kitachotokea serikali itakuwa mbali na shughuli za chama kama ilivyo ada kwa kisingizio cha serikali haipaswi kuchanganya shughuli zake na chama SUKUMA GANG wataishi kwa kujuta maana mama atawapuuza.

3. SUKUMA GANG watatumia kudaka uenyekiti kama siraha ya kusimika mtu wao 2025 ili waendelee na KUISUKUMA NCHI MBEREEEE watatumia hela zao kukishika chama, ANGALIZO Mama (bila makali ya uenyekiti) atawashuhurikia kwa kutumia silaha ya dola watakaguliwa kodi waishiwe, watatekwa watabinywa mbupu mpaka wakae mkao.

4. Mwisho Iwapo team mama watajihakikishia hawatoboi ndani ya chama ya nyerere yatatimia upinzani ahalisi utatoka ndani ya CCM.

USHAURI
Kuepusha ligi hii ambayo sioni mshindi waache maji yafuate mkondo wake, Muacheni mama akamate usukani in full kubalini kushindwa nenden mkajikite kwenye uwekezaji kwa mahela mliyokwisha iba, Wengi mnasema suluhisho la yote ni katiba mpya lakini je iliyopo inafuatwa? katiba yetu inaruhusu kununua ndege bila kupitia bunge?

Katiba yetu inaruhusu mchakato wa upatikanaji wa wabunge 19? Katiba yetu inaruhusu manunuzi ya holela ya magari CHADEMA? Kabla ya katiba mpya tunahitaji maridhiano ya kitaifa kutubu kwa tuliyokoseana (hakuna ambae hajakosea) kisha tuamue sasa kujenga nchi na kusahau magumu yaliyopita, MAGU liletwa na MUNGU kuja kuwafundisha magumu ya kudharau katiba na kumtegemea mtu katika watu kawatesa ni WanaCCM wenzake na matajiri waliomchangia kushinda ikiwemo monaban wa arusha na manji ,manji alichangia kampeni na kushiriki wizi alichokipata sasa.

Wenu,

The only.
 
Kaka ukiondoa neno hacha ugoro .mengine yote nakubaliana na ww team hizo kuzidhibiti tumaini walau kidogo litatoka kwa mama akikaa in full power.Nakubaliana na ww juu ya mabaya ya team msoga na mengine hata huyajui ya kisheitwan.lakini wako sawa na kabisa na sukuma gang.wao wamenyanganya matajiri mabilion tena live benki wameiba mahela tena bot (mama kaona report kabaki kinywa wazi maana alitengwhha sana) ndo kisa cha kumtema bashirungwa .wameua sana wapinzani familia nyingi zinalia.haya makundi yameibuka sababu ya udhaifu wa katiba dola kujaa mamlaka kwa rais ,tunataka tujenge taasisi zenye nguvu hata ya kumkamata katibu mkuu Ccm bila lidhaa ya rais.tra ambayo ikikudai kodi inajitetea mahakaman sio kupokea vimemo vya waziri kuwa huyu kada mwenzetu .

Mwanga pekee tunauona ni kwa mama kushika full power kisha atujengee nchi ambayo hakuna mtu atatumia uongozi wa chama chochote kuhudumiwa haraka halmashauri .
Waziri wa fedha alikuwa makamu wa Rais wa leo!

Kama makamu wa Rais anapandishwa cheo,maanake alifanya vizuri, sasa Bashiru kakaaa mwezi mmoja, hata kikao kimoja cha Baraza la mawaziri hakuudhuria, ubaya wake unatoka wapi?
 
Ndo tunakupa nyepesi magu alikuwa anamdharau sana mama alitaka kujitoa mara mbili na kwenye maamuzi alikiwa annaendesha nchi kama duka alikuwa anakalipia swna balaza .ndo maana mangula alibidi atulizwe alipokija na hoja haoni kwa nn membe atimuliwe.magu simsemi kwa ubaya hakuwa anafaa kabisa mm nimewahi ongea naye in personal alikuwa kikweli si mtu wa majadiliano akiwa waziri
 
Kabla ya katiba mpya tunahitaji maridhiano ya kitaifa kutubu kwa tuliyokoseana (hakuna ambae hajakosea)
Sasa kama unataka haya kwann hutaki kofia za urais na uenyekiti zitenganishwe? Unajua kwamba udhalimu wa mmwendazake haukuweza kudhibitiwa kwasabb ya kuvaa kofia 2?

Wale wote wanaopigia debe mama asipokwe kofia 2 wananufaika na utawala wa mama. Wanahisi akinyimwa uenyekiti atakosa nguvu fulani fulani na wao wakalosa mambo fulani fulani.
 
Hakuna kitu kinaitwa utawala wa mama ndo kwanza kaishika serikali na asilimia kubwa ni watu walewale na ndo maana vinara kama bashiru kawatoa out ,bado anapanga safu yake ,mama tumuamini kwa kumpa full power ili adhibiti makundi ya sukuma gang na msoga gang
 
Mwendazake amevuruga mambo mengi mno aisee - mbaya zaidi hao Ndugu zake walimwona kama Mungu Mtu... yaani hadi sasa sijui kama wameamnini kwamba baba yako kwisha..!!

Hilo la wabunge feki 19 aka Covid-19 ni aibu kubwa sana kwa taifa letu kushindwa kuheshimu Sheria na Katiba ya nchi... yote haya ni mazao ya siasa mfu za mwendazake.
 
Wakuu nachofanya mimi ni uchambuzi wangu huru ,TUTAFAKARI!

Ni wazi mabadiliko ya mkuu wa nchi ni hatari na neema kwa makundi mbalimbali maslahi kimaslahi ,Mfano leo wapinzani kwa mara ya kwanza wanapata wasaa wa kutoa dudku duku zao mbazo wasingepata fursa hiyo kwa muongo mzima wa JPM hapo hatujaweka angejiongezea muda.

Mfumo nufaika na magu uko kwenye kipindi kigumu cha kutoisoma ramani ya MAMA kiasi cha kuanza kuhoji uwezo wake wa kushika uenyekiti wakiamini anahitaji kufungwa speed governor ya uhakika kwani za chini chini wanufaika walikuwa wanamdharau mama katika ile falsafa ya kumuiga MAGU kila analoamini.

Iwapo CCM watakosea mama asishike uenyekiti kutakuwa na haya:

1.Mwenyekiti lazima atakuwa kundi nufaika la MAGU hivyo atazua msuguano wa kuzuia utendaji wa mama unamgusa mwana kundi hilo mitandaoni almaarufu kama SUKUMA GANG.

2.Mama na wanufaika wake (anaowatengeneza na TEAM KIKWETE aka CCM Asilia) wataondoka na kinyongo kikaoni wakichukulia ni dharau na kitachotokea serikali itakuwa mbali na shughuli za chama kama ilivyo ada kwa kisingizio cha serikali haipaswi kuchanganya shughuli zake na chama SUKUMA GANG wataishi kwa kujuta maana mama atawapuuza.

3. SUKUMA GANG watatumia kudaka uenyekiti kama siraha ya kusimika mtu wao 2025 ili waendelee na KUISUKUMA NCHI MBEREEEE watatumia hela zao kukishika chama, ANGALIZO Mama (bila makali ya uenyekiti) atawashuhurikia kwa kutumia silaha ya dola watakaguliwa kodi waishiwe, watatekwa watabinywa mbupu mpaka wakae mkao.

4. Mwisho Iwapo team mama watajihakikishia hawatoboi ndani ya chama ya nyerere yatatimia upinzani ahalisi utatoka ndani ya CCM.

USHAURI
Kuepusha ligi hii ambayo sioni mshindi waache maji yafuate mkondo wake, Muacheni mama akamate usukani in full kubalini kushindwa nenden mkajikite kwenye uwekezaji kwa mahela mliyokwisha iba, Wengi mnasema suluhisho la yote ni katiba mpya lakini je iliyopo inafuatwa? katiba yetu inaruhusu kununua ndege bila kupitia bunge?

Katiba yetu inaruhusu mchakato wa upatikanaji wa wabunge 19? Katiba yetu inaruhusu manunuzi ya holela ya magari CHADEMA? Kabla ya katiba mpya tunahitaji maridhiano ya kitaifa kutubu kwa tuliyokoseana (hakuna ambae hajakosea) kisha tuamue sasa kujenga nchi na kusahau magumu yaliyopita, MAGU liletwa na MUNGU kuja kuwafundisha magumu ya kudharau katiba na kumtegemea mtu katika watu kawatesa ni WanaCCM wenzake na matajiri waliomchangia kushinda ikiwemo monaban wa arusha na manji ,manji alichangia kampeni na kushiriki wizi alichokipata sasa.

Wenu,

The only.
Umeandika kama umetoka usingizini. CCM ni moja usitarajie eti inaweza kugawanyika. Wewe una chuki binafsi na aliyekuwa kiongozi wa awamu ya tano. Inavyoonekan wewe ni mmojawapo wa waliopigwa chini kwa cheti fake
 
CCM ione hivyo hivyo.

Ikija issue ya kitaifa na kushika doll wote wanakua kitu kimoja .
 
Mwendazake amevuruga mambo mengi mno aisee - mbaya zaidi hao Ndugu zake walimwona kama Mungu Mtu... yaani hadi sasa sijui kama wameamnini kwamba baba yako kwisha..!!

Hilo la wabunge feki 19 aka Covid-19 ni aibu kubwa sana kwa taifa letu kushindwa kuheshimu Sheria na Katiba ya nchi... yote haya ni mazao ya siasa mfu za mwendazake.
Unajuaje kama hao wabunge hawakupata baraka za mwenyekiti wao ? Kama mtu alibadilisha gia angani mwaka 2015 atashindwa kuwaruhusu ? Mbona uongozi wa hicho chama wanakwepa kujadili rufaa ya hao wabunge ? Wewe usicheze na wanasiasa hawaaminiki, shauri yako.
 
Hakuna utafiti sehemu yeyote Duniani inayoosha hvyo .. pili vyama vyote makini hata kwa mabeberu Mwenyekiti wa chama si Rais wa nchi sasa ni wakati Rais wa nchi asimamie kutekeleza majukumu ya taifa na majukumu ya chama awepo mtu mwingine ambae 24/7 atasimamia majukumu ya Chama. Tunataka kumpunguzie mama majukumu abaki kuwatumikia watanzania majukumu ya chama apatikane wa kumsaidia
 
Umeandika kama umetoka usingizini. CCM ni moja usitarajie eti inaweza kugawanyika. Wewe una chuki binafsi na aliyekuwa kiongozi wa awamu ya tano. Inavyoonekan wewe ni mmojawapo wa waliopigwa chini kwa cheti fake
Mm nina ndugu yangu aliuawa kwa amri ya huyo mzee kisa alihoji phd yake,kaka yangu alinyanganywa kibabe dola 300,000 na alipouliza aliambiwa unataka uhujumu uchumi ?mm nibambikiwa kodi nikafunga club kisa niliweka bendela ya qct nje .na wanaonizunguka wanamakibwa ya kusema .
Ila nimemsamehe hukumu ni ya mungu.sisi tunamsikilizia mama kama ataeleweka turudishe mitaji nyumbani

Kaua sana katesa sana ikiwemo kuchomeka watu spoko kwenye lombo na kulawitiwa watu kibao ili aogopwe i
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom