Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,906
Mimi nimeona nifungue mada ya pembeni na ya kujitegemea ili kutaka kujua ukweli juu ya Mzee Melecela. Maana nimesoma mengi yakisemwa kwamba ni chuki dhidi ya Mzee huyu . Sasa najiuliza hizo chuki ni zipi na kwa nini ? Pia nimeona jina la Jumanne . Ninashangaa kwa nini jina hili lilijitokeza siku zile ? Nia ni njema kwamba nataka kujua tafadhali mwenye msaada wa kutaka kunisaidia na si kunitukana aniweke sawa .
Nitaomba pia mazuri ya Mzee yatajwe hapa na kujua kama ni kweli kwa nini basi hata baada ya Mwalimu kufa huyu Mzee hakuwahi kuingia hata round ya pili ya kuoba kuchaguliwa kugombea Urais ndani ya CCM .
Naomba kutoa hoja .