Mwenyekiti wa Bavicha Njombe, Goerge Sanga yuko Mahabusu kwa miezi mitano sasa kutokana na visasi vya uchaguzi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
85,388
2,000
IMG_20210228_145110.jpg

Huyu kijana aliponzwa na ndoto yake ya kugombea Udiwani , kosa lake hilo la kutumia haki yake ya kikatiba la kugombea udiwani limemsababishia kutengenezewa kesi ya Mauaji , ambapo baada ya kukamatwa kama maagizo yalivyoelekeza mgombea udiwani wa ccm kwa kasi ya radi akashinda bila ya kupingwa .

Nachukua nafasi hii kuipa pole familia yake pamoja na wanachadema wote wa Njombe na namuomba Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema awabariki watu wote walio magerezani kwa kesi za uongo na namuomba aingilie kati .

Mungu ibariki Chadema
 
JOHNKEKE

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,166
2,000
Anataka udiwani kwa kumuua kinyama mgombea mwingine wa udiwani kupitia chama kingine! Ushahidi ulionyesha hivyo na jeshi la polisi lilitangaza sehemu ya huo ushahidi. Ikumbukwe mauaji hayo yalifanyika kinyama na hivyo kuvuta hisia za watu wengi.
Kama hakuhusika asubiri mahakama itamuweka huru.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
105,157

Kama ushahidi unao unashindwa nini kwenda kuisaidia polisi ili wamfikishe mahakamani?

Kama siri hiyo unaijua basi hata wewe ulishiriki hili tukio
 
Okwaaa

JF-Expert Member
Dec 3, 2020
1,155
2,000
Aiseee, sea-her-sir😁
Natamn kujiingiza ila moyo unasema "thubutu"😄

Pole yake kijana mwenzangu. Dunia uwanja wa fujo, kila mmoja huja kufanya fujo zake na kuondoka😆😆😆😆
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
28,353
2,000
View attachment 1713955

Huyu kijana aliponzwa na ndoto yake ya kugombea Udiwani , kosa lake hilo la kutumia haki yake ya kikatiba la kugombea udiwani limemsababishia kutengenezewa kesi ya Mauaji , ambapo baada ya kukamatwa kama maagizo yalivyoelekeza mgombea udiwani wa ccm kwa kasi ya radi akashinda bila ya kupingwa .

Nachukua nafasi hii kuipa pole familia yake pamoja na wanachadema wote wa Njombe na namuomba Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema kuwabariki watu wote walio magerezani kwa kesi za uongo na namuomba aingilie kati .

Mungu ibariki Chadema
Uonevu kama walivyoonewa hawa bila kuwafikisha mahakamani. Wanaweza kuwa na makosa lkn wafikishe mahakamani haki itendeke au ionekane imetendeka maana mahakama za Ibrahim ni Kangaroo courts

1614519338253.png

Over siku 1379??? without trial
 
Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
2,242
2,000
Anataka udiwani kwa kumuua kinyama mgombea mwingine wa udiwani kupitia chama kingine! Ushahidi ulionyesha hivyo na jeshi la polisi lilitangaza sehemu ya huo ushahidi. Ikumbukwe mauaji hayo yalifanyika kinyama na hivyo kuvuta hisia za watu wengi.
Kama hakuhusika asubiri mahakama itamuweka huru.
Acha kuwa na roho nyeusi hivyo elewa huyu ni suspect na hajatiwa hatiani na mahakama na yupo innocent,kuwekwa mahabusi ni kumnyima hakiyake ila kwa sababu tunaishi ndani ya pithole country wewe unaona ni sawa maana umejaa ubinafsi na la kusikitisha zaidi bado unakwenda nyumba za ibada wakati umejaa ushetani mkubwa,tuhuma zote zinatakiwa ziwe na dhamana sio ushenzi huu ndani ya nchi yetu.ipo siku generation inayojitambua itabadilisha haya na watanzania wataishi kwa kufuata katiba ya nchi na sio mpangaji mkuu wa pale magogoni.
 
Generation inayojitambua ndiyo imeipa mandate serikali iliyopo, acheni ndoto.
Watuhumiwa wote wa mauaji wako mahabusu wakati kesi inaendelea. Kwa hiyo huyo aachiwe sababu ni mgombea wa CHADEMA?
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
85,388
2,000
Anataka udiwani kwa kumuua kinyama mgombea mwingine wa udiwani kupitia chama kingine! Ushahidi ulionyesha hivyo na jeshi la polisi lilitangaza sehemu ya huo ushahidi. Ikumbukwe mauaji hayo yalifanyika kinyama na hivyo kuvuta hisia za watu wengi.
Kama hakuhusika asubiri mahakama itamuweka huru.
Mungu hataniwi , zamu yako inakuja
 
NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
9,907
2,000
Kwasababu ni Chadema basi aachwe.
Wanachedema wote waliofanya makosa ya jinai waachiwe maramoja.
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
23,686
2,000
CCM hawana hofu na Mungu kabisa!! Unamtesa mwenzako kisa madaraka!! Laah!!

Kama kura ushaiba ushashinda na ushatangazwa sasa kingine kipi utakacho ndugu??
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
85,388
2,000
Generation inayojitambua ndiyo imeipa mandate serikali iliyopo, acheni ndoto.
Watuhumiwa wote wa mauaji wako mahabusu wakati kesi inaendelea. Kwa hiyo huyo aachiwe sababu ni mgombea wa CHADEMA?
Mandate ipi ikiwa Magufuli anatamka hadharani kwamba wabunge na madiwani wa ccm hawakushinda ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom