Wanabodi, hili andiko ni kutoka kwa Mwandishi Nguli Bollen Ngetti FaceBook page yake. Naisukuma kwenu.
_____________________
Daniel Chongolo, anza na haya kuepuka usaliti wa Bashiru
Na Bollen...
Mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage, amesema Wananchi wanamwona kama mchawi kutokana na Wanafunzi kufariki wakisafiri kwenye Mitumbwi wakati wa kwenda Shuleni kwasababu yeye ndiye...
Mbunge wa Arumeru Magharibi, Noah Lemburis Saputu Mollel, amesema vikwazo vya Elimu viko vingi sana ikiwemo Lugha ya kufundishia Shule za Msingi na Sekondari.
Amesema jambo hili linapeleka Watoto...
Rais Uhuru Kenyatta amesema ikiwa Kenya na Tanzania zitashirikiana, ushindi utakuwa wa wananchi wa Nchi hizo mbili. Amesema Mataifa hayo yajiona kama Nchi ambazo zinashindana hazitaweza kupata...
Rais Samia: Zipo kampuni 30 za Tanzania ambazo zimewekeza mtaji ndani ya Kenya wenye thamani wa shilingi za Kenya, Bilioni 19 na kutoa ajira kwa watu 2,640 lakini nikaweka ahadi kwamba, Tanzania...
Hii ndio taarifa yao mpya waliyoisambaza kwa vyombo vyote vya habari duniani
Wote Mnakaribishwa .
Tunasisitiza kwa wale wote watakaohudhuria kufuata mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya...
Towards Samia Suluhu's visit to Kenya, i have come across clips by SABC on the matter and discovered something unacceptable as far as reports with journalistic ethical standards are to go by...
Mapema Sana wakati anaapisha wateule wake wa Mwanzo Rais Samia alisema kuna tatizo kubwa la Coordinations serikalini.
Leo nimeona hili tatizo kati yake Rais na waziri wake Jennista Mhagama. Na...
Ni kweli Spika Ndugai ana 'Mapungufu' yake, ila na Mimi GENTAMYCINE sasa taratibu naanza kuona pia kuna Matatizo ya 'Kimsingi' kwa upande wa Wapinzani ( hasa CHADEMA ) juu ya madai yao ama kwa...
Sisi wahenga tukiliangalia tukio la wabunge wa viti maalumu wa Chadema akina Halima Mdee tunaweza kulifananisha na lile la mbunge wa Temeke 1995 mh Kihiyo.
Kihiyo siyo kwamba hakusoma shule, No...
Nakumbuka kipindi cha serikali ya awamu ya nne yalikuwepo mauaji ya ndugu zetu Albino kwa wingi sana ,ikiwemo na vikongwe.
Hii ilipelekea aibu kubwa sana kwa taifa letu kwenye uso wa kimataifa...
Mjumbe wa Kenyatta na Rais Samia - mbona ni mmoja tu mwenye Barakoa?
Suluhu hosts CS Amina for diplomatic talks, vows to restore ties with Kenya
- Kenya and Tanzania's diplomatic relations...
Leo baadhi ya wabunge wamemshukia Profesa Muhongo na kudai ni heri darasa la saba Msukuma na Kibajaji kuliko PhD holder.
Naye Spika Ndugai akasema ni vema maprofesa wakawa wanajipanga vizuri...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ameeleza kuwa kuwa na kitambulisho cha Utaifa (NIDA), hakuhalalishi mtu kuwa ni Raia wa Tanzania.
Pia soma > Mbunge :Wasiojua vema mashairi ya wimbo...
Wakuu
Kenya ina jumla ya kampuni 529 zinazoendesha shughuli zake nchini Tanzania ambapo zimewekeza Dola za Marekani Bilioni 1.7 na zimeajiri watu 56,260.
Tanzania sisi sasa tuna kampuni 30 tu...
Mwaliko uliletwa haraka haraka, kana kwamba kuna dharura!
Sasa mama ameamua kuitikia mwaliko huo wiki ijayao. Haieleweki yaliyokuwemo ndani ya barua ile iliyowasilishwa kwake Dar es Salaam...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdory Mpango leo Mei 04, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Mwigulu Nchemba.
Viongozi hao...
Uongozi wa Serikali ya Awamu ya sita ya mwanamke shupavu Samia Suluhu Hassan umejikita katika kuifanya falsafa ya Mwl. Nyerere ihusuyo maendeleo kukamilika.
Falsafa hiyo inazungumzia MAENDELEO /...
Historia ya Katiba
Kwa mujibu wa wataalamu wa sheria kutoka chuo cha sheria cha(Law School of) Tanzania, katiba inahitaji kupitiwa mara kwa mara kuhakikisha kua inaakisi era za kidiplomasia pamoja...