Rais Samia: Tanzania tutakuja kwa nguvu yote Kenya kuwekeza

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
660
1,000
Rais Samia: Zipo kampuni 30 za Tanzania ambazo zimewekeza mtaji ndani ya Kenya wenye thamani wa shilingi za Kenya, Bilioni 19 na kutoa ajira kwa watu 2,640 lakini nikaweka ahadi kwamba, Tanzania sasa tutakuja kwa nguvu yote kuwekeza Kenya ili kukuza ujazo wa biashara

Awali Rais Samia alisema Kenya inashika nafasi ya tano kwa uwekezaji ndani ya Tanzania ambapo imewekeza miradi 513 yenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 1.7 ambayo imetoa ajira zipatazo 51 elfu kwa watanzania.

 

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
4,608
2,000
Rais Samia: Zipo kampuni 30 za Tanzania ambazo zimewekeza mtaji ndani ya Kenya wenye thamani wa shilingi za Kenya, Bilioni 19 na kutoa ajira kwa watu 2,640 lakini nikaweka ahadi kwamba, Tanzania sasa tutakuja kwa nguvu yote kuwekeza Kenya ili kukuza ujazo wa biashara

Awali Rais Samia alisema Kenya inashika nafasi ya tano kwa uwekezaji ndani ya Tanzania ambapo imewekeza miradi 513 yenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 1.7 ambayo imetoa ajira zipatazo 51 elfu za watanzania.Kuwekeza Kenya ni muhimu sana mfano kwenye Kilimo mazao mengi yanatoka Tanzania hivyo kuna fursa za kuwekeza kwenye usambazaji wa vyakula Kenya unaweza ukawa na mtandao kutoka shambani mpaka kwa mlaji. Vilevile kwenye utalii watalii wakija Kenya wasiishie Kenya pekee hivyo usafiri wa kuwaleta watalii Tanzania ni sehemu nyingine. Vilevile kuweka branch zetu za bank kenya kwa bank zetu, radio na vyombo vya habari kuna vitu vingi sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom