Kanali Patrick Karegeya alikuwa mkuu wa wa shirika la ujasusi la Rwanda (NISS) na Apollo Gafaranga alikuwa mmoja wa Informer wake. Karegeya alijaribu kumpindua Kagame ktk jaribio lililoshindwa...
Nauliza tu maana utaratibu huu ulianza awamu ya 5 ambapo Rais wa JMT anapoapisha wateule wake viongozi wote wakuu wa serikali na wa vyombo vya dola lazima wanakuwepo.
Je, kuna ulazima wowote...
Nianze kwa kukumbuka mwaka 1971 nikiwa Kijana. Serikali ya Jamuhuri ya Muungano ilikusanya maoni ya wananchi nchi nzima kuhusu MAKAO MAKUU YA CHAMA NA SERIKALI KUHAMISHIWA DODOMA. Sina uhakika...
Habar wadau wa JamiForums,
Kama kawaida yangu Mtanzania mzalendo nisie pindisha ukweli
Kwanza hii ningependa imfikie Rais Samia kua Now days namna ya kuongoza Tanzania imesha Badilika na...
Habari wanaJF,
Katika uwanja wa siasa kwa ngazi ya Urais tumezoea kuona Rais aliyeingia Madarakani akijizolea umaarufu na sifa kedekede pindi anaposhika hatamu ya uongozi
Kipimo cha Rais huanza...
Wakuu mambo yanayotokea katika nchi hii kwa sasa hayawezi kupita bila kujadiliwa .
Hakuna kiongozi yeyote wa maana aliyetembelea nchi yetu tangu awamu ya 5 ianze , kisa ni nini ? Kwanini wageni...
CAG hana huruma na mzaha kabisa.
Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai.
CAG ameweka wazi ufisadi wa sh.364,107,100 mapato ya ushuru yaliyotafunwa...
Wadau siku Rais wa nchi Mama Samia Suluhu Hassan Akiapisha mawaziri aliagiza ukaguzi wa BOT kuanzia mwezi January hadi Machi , ambapo ripoti hiyo ilikuwa isomwe tarehe 20/04/2021 lakini...
Nchi yetu imekua na tabia ya kuingia kwa pupa kwenye mifumo ya kidigitali kama mkongo wa taifa, vinga'amuzi, luku, electronic ticket za mwendokasi, malipo ya Serikali na kadhalika bila...
Mimi kila siku nasema posho za wabunge hazitoshi
Mbunge wa Bahi (CCM) anashikiliwa na polisi na atafikishwa kizimbani J3 kwa tuhuma za kuomba rushwa ya 7 mil. Mbunge huyu yupo kwenye kamati ya...
Habari wadau.
Imekuwa kawaida kusimamishwa na Askari wa barabarani kwa ajili ya ukaguzi. Huu ni moja kati ya wajibu wao wa msingi kwa ajili ya kuhakikisha usalama wetu watumia vyombo vya usafiri...
Sikujui hunijui Ila nakufahamu kama mwanasiasa makini sana na ukiwa kwenye ubora wako Taifa litanufaika.
Sasa nisikilize.
Kuna dalili zote bado haujapona na majeraha ya kupoteza ubunge wako na...
DHANA YA UHURU NA UCHUMI WA KUJITEGEMEA KWA AFRIKA
Na Elius Ndabila
0768239284
Tunapozungumzia uhuru kama dhana ya kifalsafa mara nyingi huwa tunafikiria uwezo wa mtu binafsi wa kufanya uamuzi...
Kuna mambo fulani ukiyafikiria unaishia kuhuzunika tu. Ukienda University Computing Center ya University of Dar es Salaam, kama unataka usajili Domain Name kupitia UCC, unapaswa kujaza form...
Nimemsikiliza huyu mbunge kijana Ng'wasi Damas Kamani na nikatambua ni kichwa. Ameelezea vizuri na kwa ufasaha maswahibu ya wakandarasi wazalendo kwa usafaha tena kwa kina. Bunge inatakiwa kuwa na...
Mh Rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako.
Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea...
Wana JF,
Habari nilizozipata kutoka Arusha ni kwamba, Jeshi la Polisi Mkoani humo limemkamata Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa ndugu Lengai Ole Sabaya kwa tuhuma za kughushi nyaraka mbali mbali za...
Alikamatwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kupewa kesi ya uongo ya kutakatisha pesa na Uhujumu uchumi kwa amri ya CCM na DPP Biswalo Mganga, ambaye jana ameapishwa kuwa jaji wa...
Zipo sababu kadhaa zinazowafanya makada wa CCM kuendelea kuing'ang'ania katiba iliyopo isibadirishwe na iendelee kuwepo kwa jinsi ilivyo. Kubwa kuliko zote ni maslahi ya chama chao, kila mwana CCM...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Kwanza napenda kukupongeza kwa hotuba yako nzuri wakati wa ufunguzi wa kiwanda cha kutengeneza au kushona nguo cha jeshi la polisi.
Nilivutiwa na jinsi...