Bob Nyanga Makani,Mwenyekiti wa pili na Katibu Mkuu wa kwanza wa CHADEMA,amefariki dunia jana.Ninaomoyo mnyenyekevu kuwapa pole wote wanaohusika kwa namna moja au nyingine na msiba huu...
Hii taarifa imetufikia kama mshtuko fulani vile, ikimhusisha Mkuu wa mkoa na uhalifu dhidi ya Lissu
Source Hiyo hapo chini, nimefanya my screenshot tu.
Kutoka kwa Robert Alai
=========
It is...
Maendeleo ya Zanzibar yatakuja kukiwa na amani, Umoja na utawala bora - Othman Masoud
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar...
TAARIFA KWA UMMA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Ndg. Daniel Chongolo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China Nchini Tanzania Bi. Wang Ke.
Mazungumzo hayo yamefanyika leo...
Kiukweli CHADEMA kwa utaratibu wao mpya wa mfumo wa ada za uanachama wanaweza kufanya vizuri zaidi hata kama hawatapata ruzuku ya Serikali.
Kama wanachama milioni mbili wa CHADEMA watalipa tsh...
Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa...
Baraza la Madiwani Geita limeukataa Mkoa wa Chato. Je, Hayati Magufuli angekuepo wangeweza kukataa hiki kitu. CCM wakikusifia au wakikubaliana na wewe ujue wana maslahi au ni Unafiki tu...
Swali ( Farhia Middley dakika 45 ITV )
Je, Mzee Butiku Tume za Uchaguzi barani Afrika huwa ziko huru na kutenda Haki katika Chaguzi?
Jibu ( Mzee Joseph Butiku wa MNF )
Ni Akili ya Kawaida tu...
Nimepenyezewa taarifa kuwa kuna baadhi ya watumishi wa serikali mwezi huu wa May, wameona mabadiliko madogo katika mishahara yao ambapo kumekuwa na ongezeko katika "take home ".
Ongezeko hilo...
Mawali yapo gazeti la Mwananchi ukurasa wa mbele na amehojiwa clouds FM
1. Kwanini Makonda hukuchukua hatua dhidi ya hao watu 10 wanaomueleza wanataka kumpa 50Million Kila Mwezi ili kumyamazisha...
Wasalaaaam!!
Waziri wa Viwanda na Biashara wa Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo alisema kuwa utiaji wa makubaliano hayo ni mojawapo ya jitihada za kuwezesha mahusiano ya biashara na nchi jirani...
Vikao vya ndani vinaendelea kurindimishwa na CHADEMA kama ada, hii ni katika ule mpango Mkakati wa Operesheni Haki, ambapo zamu ya Shinyanga ni 28/5/2021.
Sasa huu hapa ndio Msafara wao kuelekea...
Salaam Wana JF,
Siku chache zijazo Rais Wetu Mpendwa Samia Suluhu Hassan atatimiza siku 100 madarakani, Kwa takribani siku 71 sasa, ambazo ameshika hatamu kama Rais wa nchi yetu tumeweza kuona...
Rais wa Zanzibar mh Hussein Mwinyi amesema kuwa chanjo kwa Zanzibar ipo pale pale na kuongeza kuwa kama kina mtu hataki kupewa hiyo chanjo ni juu yake.
Na akasema kuwa isitokee watu wakaanza...
Mwamba Mbowe ameingia Bunda Mkoani Mara katika Mkakati unaotikisa wa Operesheni Haki , amelakiwa na maelfu ya wanachama na viongozi wa Chadema wa eneo hilo na baadaye akaongoza kikao cha Kimkakati...
Dkt. HASHIL, RC MTAKA NA MBUNGE MAVUNDE WAWASHUSHIA NEEMA MAFUNDI CHEREHANI
Mkutano mkuu Umoja wa mafundi cherehani wa mkoa wa Dodoma (UMACHEDO) umefanyika jana katika hoteli ya Dodoma kwa...
Kuna tabia yetu wengi kwenye mijadala ya kisiasa kutoa hoja zinazokosa uelewa wa historia na matokeo yake, tunakosa depth/uzito wa hoja ambao kuna wakati huko nyuma JF ilisifika kwa kuwa nao...
Taja yangu haijafuata protoko ila ninachomaanisha, katika utumishi wa umma kumekuwa na hawa mabosi ambao wengi wao sio wanataaluma katika nafasi walizonazo ila wana power kubwa sana kwa watu ambao...
Nipo mjini Dsm zamani waliliita jiji la Dsm. Nimekuja na ndege iliyonunuliwa awamu iliyopita na nimepanda madaraja mawili ya awamu ya Tano. Nilipita MFUGALE nikaiona Buguruni kwa chini ikiwa bado...