Freeman Mbowe na Jopo lake Waingia Bunda, aongoza kikao cha Mashauriano

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
87,272
2,000
Mwamba Mbowe ameingia Bunda Mkoani Mara katika Mkakati unaotikisa wa Operesheni Haki , amelakiwa na maelfu ya wanachama na viongozi wa Chadema wa eneo hilo na baadaye akaongoza kikao cha Kimkakati cha mashauriano.

BAVICHA_&_CHASO_on_Instagram:_“Mwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_Mhe._Freeman_Mbowe_akiwasili_uk...jpg
FB_IMG_1622394539893.jpg
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
7,661
2,000
Sawa komredi.....

Mashauriano yenyewe yamehusisha pia YALE MANENO YAKE YA tuhuma za UKABILA dhidi yake na watu wa Kaskazini ?!!!!

#TaifaLetuNiMoja
#WanasiasaWaacheMbelekoYaUkabila
 
Credit

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
615
1,000
Mkabila sana huyu mwenyekiti wetu Mbowe. Ni mwemyekiti lakini leo nimemdharau sana. Nimeanalyse ile discourse, stylistically anamaanisha chama kianze harakati za kutetea wachaga dhidi ya wasukuma! Sijui wanachama wasukuma walivyoipokea hiyo political discourse ya mwenyekiti! Sijui, naweza andika mengi sana ila itoshe tu kusema kuwa nimeghadhabishwa sana na maneno ya mwenyekiti. Ukabila, uoga na unafiki wa mwenyekiti umemkosesha sifa ya kuwa kiongozi wa taasisi yeyote ya kitaifa. Labda katiba ya chama ibadilishwe itamke bayana kuwa ni chama cha wachaka! Ovyo kabisa.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
591

hana akili huyu mbumbumbu Mr Maigizo
 
magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
6,401
2,000

Pslmp

JF-Expert Member
Mar 18, 2021
1,630
2,000
Anajaribu kuwabagua wasukuma waliomo chamani Kwa kuwachonganisha na wachaga wenzake, mpuuzi Sana huyo mkongwe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom