Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

Hii itakuwa kweli? maana nyakati hizi za mwisho kuelekea uchaguzi wazee wa propaganda wanajaribu kubadili mind za watu kwa uwezo wao wote ila kama ni kweli poa tu maana hata hao wengine wanavuna tu mzigo wanapopata chance.
 
Propaganda Za LUMUMBA KITENGO CHA IT!! Tehe! Tehe! Tehe!! Eti Wamegawana Mabilioni!! Kama Hizo Taarifa Sio Propaganda, Mtoa UZI Na MNAOSAPOT Huo Upuuzi!! Waambieni Hao Wahariri Wa UHURU Na RAIA!! Wataje Hizo Benki Zilizohusika Na Kupitisha Au Kuhifadhi Hayo Mabilioni!!! KAMA KWELI Ni Wanaume Wayataje Ktk. Magazeti Yao, Sio KUPEWA Taarifa Hizo Nusu!!! Mbona Wale WALIOFANYA Miamala Yao Ktk. Benki Yenu Ya Kigeni, IMEGOMA Kutoa Ripot Ya Miamala Ya Wale Waliogawana Mabilioni Ya ESCROW Hadi Leo!! Na NINYI Kama KWELI Wazalendo, Mbona Hamthubutu KUWATAJA HAO Waliogawana, Au KUWAAMBIA Hiyo Benki Itoe Taarifa Zake Za Miamala!!! Wabunge Wa Upinzani Wamedai Mno BUNGENI, Lkn SERIKALI Ya CCM Imekaa Kimyaa!! Hata WAHUSIKA Wa MEREMETA, DEEP GREEN N.k . Semeni Na Hayo Pia!!!
 
Mbowe.jpg
Mbowe mabilioni.jpg
 
Back
Top Bottom