Habari wadau!
Kuna siku nilishawai ku comment humu kwamba uwepo wa mfanyabiashara Yusuf Manji una umuhimu mkubwa sana katika Taifa hili, hivyo nikashauri Mama Rais Samia Hassan amuombe Manji...
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango amekutana kwa mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Kattanga
Mazungumzo hayo muhimu yamefanyika leo Aprili...
Juzi jioni bila kutarajia niliwakuta hawa wazee mtaa wa Tandamti ndo wanafunga biashara mapema saa 10.
Nawauliza imekuwaje? wakanambia kuna kikao cha dharura.
Nikawauliza kuna nini?
Msafisha...
Takriban wiki ya tatu tokea Kamati maalumu ya tathmini ya ugonjwa wa Corona (COVID-19) nchini kukamilisha kazi yake na kukabidhi ripoti kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Tume hiyo ilikuja na...
Huyu mama toka ameingia wanaharakati wa mtandaoni kwa sasa wanalala usingizi na hofu imeondoka.
Nakumbuka kipindi cha mwendazake watu tuliishi kama digidigi. Ilikua kuikosoa serikali kinachofuata...
Wanabodi.
Japo siungi mkono kufurahia kishika uchumba cha dola milioni 300 kutoka kwa mtu anayedaiwa mahari ya huyo mchumba, lakini kwa nchi yangu Tanzania, as poor as we are, as a results we are...
Baba wa taifa Mwalimu Nyerere alikuwa ni jasiri sana kuwanyooshea vidole viongozi wazembe na wasiojielewa huku akitumia maneno makali bila woga muda wowote wanapomkera au wanapofanya ndivyo sivyo...
Nimeona taarifa kwamba unataka uwapange wamachinga. Ni kitu kizuri Sana na kinatakiwa kiungwe mkono na kila mtu.
Ushauri wangu; Usitumie maneno ya mitandao kufanya Jambo hili. Tumia mda wako wote...
Wakati wakiaapishwa makatibu tawala wa mikoa, Mhe. Rais Samia alisikika katika hotuba yake kuwa aliwasimamisha wakuu wa mikoa na makatibu tawala hao wa mikoa ili kusoma sura zao na kubashiri...
Zile fidia ulizowaelekeza TARURA-DMDP Kinondoni kwa ajili ya wakazi wa Sinza wawe wamelipa mpakaJumatatu ilopita 31/5/21 mpaka leo hii hizo pesa za fidia hawajalipa.
Mkuu fuatilia hawa watu hapa...
Akiwa Bungeni mkoani Dodoma, Mbunge Singida Magharibi, Elibariki Kingu amempongeza Waziri wa Nishati kwa Kazi kubwa anayoifanya na kushangazwa na sintafahamu iliyotokea kwenye mfumo wa Luku na kwa...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa ya kujadili maendeleo yetu na nchi yetu, kupitia makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye maswali fikirishi kuhusu mustakabali wa taifa letu Tanzania, leo...
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Antony Mavunde amempongeza Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa za kuharakisha utiaji saini wa Mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Hoima...
Naona wameingia mitini na ile kasi waliyoingia nayo sasa imepotea kabisa, tunaemuona ni Rais Samia na Waziri Mkuu kunani hizi ziara zilitakiwa kufanywa na mawaziri au mmenuna kwa kuwa kuna jicho...
Amepokelewa na Bavicha Mkoa Wa Mwanza , ambapo taarifa zinaonyesha kwamba Mkakati wa Operesheni Haki utakuwa Kanda hiyo kwa muda wa siku 3 , Kuanzia Juni mosi mpaka Juni tatu .
Mungu ibariki...
"Chanjo ya ugonjwa wa Corona ni hiari, hatolazimishwa mtu kuchanja chanjo hiyo. Tukatae uzushi kuwa mtu akichanjwa atakufa, sio kweli"
Ndugu @DrHmwinyi
Rais wa Zanzibar na M/kiti wa BLM
Mjumbe wa...
Akiwa Bungeni, mbunge Shigongo amelalamikia wananchi kutoka jimbo lake la Buchosa, visiwa vya Zilagula na Maisonga kununua unit moja kwa Tshs 2,400 kutoka kwa kampuni binafsi za Power Gen
Amesema...
Rais Samia amesema Rais hafanyi makosa katika kuteua kutoka wafuasi wa vyama vya upinzani.
Rais Samia amesema kuna wakati wakuu wa wilaya pale Kilimanjaro walikuwa wanamsumbua mama Mghwira kwa...
Kila mmoja sasa anajua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais wa Mwendazake Hayati Dr. John Pombe Magufuli. Tunajua pia kuwa Rais Samia alichaguliwa kwa kura zilezile za Mwendazake...
Wanabodi,
Kwa vile hii ni mada technical, yaani ni mada ya kitaalam, naomba kuanza bandiko hili kwa elimu kidogo kwa members wenzangu ambao sio wataalam wa mambo ya power na energy.
Watu...