Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge mstaafu wa Mbeya mjini kupitia Chadema mh Mbilinyi aka Sugu amesema hata tukiweka siasa pembeni anamkubali na kumpenda mama Samia, mh Rais wa JMT.
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Kumekuwa na mshtuko watu kusikia makinikia kusafirishwa nje ya nchi wakati msimamo wa awali ilikuwa kujengwe kinu hapa nchini na watu kumlaumu Samia kuwa kaharibu, lakini Magufuli ndio aliingia...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Ukweli unauma lakini ni lazima muelezwe ili mjitathimini na muda mnaoupoteza katika hiyo misafara yenu ya kufuja pesa za wananchi maskini mnaowalazimisha kuwachangia mafuta. Lazima mkubali...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Matatizo mengi ya Tanzania, kwa kiasi kikubwa yanasababishwa na uongozi mbaya unaolindwa na sheria mbaya na Katiba mbovu. Rais Samia, kwa dhamira yake, anaonekana ni mtu anayependa haki - hili...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mbunge wa Nzega vijijini, Hamis Kigwangala amesema uchumi wa gesi hauzungumziwi tena nchini ilhali yeye alidhani ungekuwa neema akikumbuka jinsi walivyozungumza Bungeni Mwaka 2010. Kigwangalla...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watanzania wanajua rais wanayemtaka. Wanataka rais ambaye ata- sacrifice maisha yake kulinda rasilmali za nchi lakini hapa tunaye rais anayeongea kuhusu maridhiano na anawawezesha watu kuiba tena...
7 Reactions
46 Replies
3K Views
Nawasalimu wanabodi! Tunaposema haya si kwamba tunamchukia Rais wetu, hapana. Tunampenda sana. Tunampenda afanikiwe maana akifanikiwa Taifa limefanikiwa kwa ujumla. Hivyo basi, hata wapambe wake...
24 Reactions
74 Replies
9K Views
Mbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki. Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa...
7 Reactions
88 Replies
6K Views
Kwako Rais Samia, Kuna jambo moja binafsi naona unafanya makosa makubwa sana, na hili linahusu teuzi zako za hivi karibuni ambazo zinatia ndani watu fulani ambao huko nyuma walionekana kufanya...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Ijapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi...
18 Reactions
152 Replies
17K Views
Awamu ya Tano ililaumiwa sana kuhusu kuminya Uhuru, Haki na Demokrasia. Katika kurejesha imani kuhusu "Haki", Rais wa Awamu ya Sita, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akikemea watendaji wa Taasisi...
1 Reactions
1 Replies
778 Views
WAZIRI wa Mambo ya Nje Balozi Liberata Mulamula amesema kabla ya mwaka huu kuisha Sera ya Nje inayojumuisha Sera ya Diaspora itakuwa tayari na hiyo ni kwa kutambua uhimu wa diaspora katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanaojua history ya nchi hii wanajua jinsi. Wakoloni walivyotumia makanisa kueneza ukoloni na kudhibiti harakati zozote zile za wazalendo kutafuta Uhuru... Hata Nyerere hakupewa sapoti yeyote na...
71 Reactions
312 Replies
21K Views
Mbunge Viti Maalum, Josephine Genzabuke: Naomba niishukuru serikali ya CCM inayoongozwa na Jemedari, Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu kwa kufanikisha mkopo wenye Masharti nafuu kutoka benki...
11 Reactions
57 Replies
9K Views
Huwa napenda kupitia kwenye mitandao ya kijamii kuona namna gani waTanzania wanamchukuliaje Rais wetu Samia Suluhu Hassan. Jicho langu limeona, Rais Samia anasupport kubwa katika mtandao wa...
19 Reactions
44 Replies
4K Views
Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa. Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu...
6 Reactions
52 Replies
4K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo kimetoa kadi za wanachama za aina Nne tofauti na zikiwa na package ms tofauti. ~Zipo za kulipia 100k kwa mwaka ~Zipo za 50k kwa mwaka ~Za 10k kwa mwaka ~Na...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Dkt. Slaa alikimbia mapambano kwa ahadi ya Ubalozi. Alipofika huko akaacha kukemea maovu na kubariki kila kilichofanywa na mteule wake. Nadhani aliamini mapambano ya haki yasingewezekana tena...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
NAWAZA TU: Kuna vitu Nimeshindwa kuelewa kuhusu Wema Sepetu hivi mtu anayeonekana mashuhuri tena mwenye wafuasi Wengi,Kwanini press conference afanyie nyumbani kwao na siyo ofisi ya Chama walau...
11 Reactions
79 Replies
11K Views
Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Da'slama imeeleza kuwa Rais wa JMT amefanya uteuzi wa baadhi ya Makatibu Tawala wa Mikoa, amewahamisha wengine na baadhi kuwabakisha katika vituo vyao vya kazi. Kwa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…