kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Dkt. Slaa alikimbia mapambano kwa ahadi ya Ubalozi. Alipofika huko akaacha kukemea maovu na kubariki kila kilichofanywa na mteule wake. Nadhani aliamini mapambano ya haki yasingewezekana tena, aliamini mijadala huru haitakuwepo Tena.
Leo tunajiuliza anaweza kujirudi nakuhubiri yanayokinzana na Yale aliyoaminisha watu tena?
Je, anaamini Kwamba waliosema njaa ni ugonjwa wa muda mfupi walikuwa sahihi?
Wakina Warioba, Butiku, Msekwa ni baadhi ya wanachama watiifu wa CCM walioweza kuhifadhi hadhi zao pale waliposhuhudia yasiyofaa yakifanyika.