Makinikia kusafirishwa nje ya nchi iliruhusiwa utawala wa Hayati Magufuli, Rais Samia analaumiwa bure

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
2,860
2,000
Kumekuwa na mshtuko watu kusikia makinikia kusafirishwa nje ya nchi wakati msimamo wa awali ilikuwa kujengwe kinu hapa nchini na watu kumlaumu Samia kuwa kaharibu, lakini Magufuli ndio aliingia makubaliano mapya na Barrick na makubaliano hayo hayawalazimishi kuchenjua makinikia hapa nchini.

Sikiliza video hii ya 2020 mtaalamu WA masuala ya Madini walisha note Magufuli kubadili msimamo
PIA, SOMA=> Kassim Majaliwa: Makontena ya Makinikia yanayosafirishwa nje ya nchi ni halali
 
Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
2,739
2,000
Wasiojua ni watu wa chini, lakini makinikia yamekuwa yakitembea kama kawaida. Kakonko na Madini wanajua.
Rais Samia kayakuta yapo on the road.
Smelter ilikuwa politiki! Kama zile report

Everyday is Saturday..............................:cool:
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,376
2,000
Mkuu hii nchi uliposikia yule mzee kasema "malofa wapumbavu" unadhani alimaanisha ni wapinzani?
Alimaanisha hawa mazwazwa wanaoishi kwa kuwekea wengine maneno vinywani... JPM RIP aliruhusu madini ghafi na makinikia kusafirishwa baada ya sisi kukosa uwezo wa kuyachenjua kutokana na ukosefu wa teknolojia na utaalamu... na hali ilikuwa mbaya...
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,155
2,000
Wanajua tu kuwa Makinikia yalianza kutoka kipindi cha Magufuli!

Tena hili jambo la Makinikia kusafirishwa tulllipigia kelele humu JF sana tu kipindi cha Mwendazake. Tena tulikuwa tunahoji inakuwaje Mkataba mpya na Barrick uruhusu Makinikia kwenda nje wakati Sheria aliyoitunga Magufuli inataka makinikia yachenjuliwe humuhumu?
 
1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
9,403
2,000
Haaaaaaa..yaani JPM aliruhusu nchi ifunguliwe au siyo? Watu wanapata taabu Sana kufuta legacy ya JPM....
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
15,243
2,000
Kumekuwa na mshtuko watu kusikia makinikia kusafirishwa nje ya nchi wakati msimamo wa awali ilikuwa kujengwe kinu hapa nchini na watu kumlaumu Samia kuwa kaharibu, lakini Magufuli ndio aliingia makubaliano mapya na Barrick na makubaliano hayo hayawalazimishi kuchenjua makinikia hapa nchini.

Sikiliza video hii ya 2020 mtaalamu WA masuala ya Madini walisha note Magufuli kubadili msimamo
PIA, SOMA=> Kassim Majaliwa: Makontena ya Makinikia yanayosafirishwa nje ya nchi ni halali
... mbona tukio la kubadili msimamo halikuwekwa hadharani MUBASHARA kama yale ya mwanzo? Mnafiki ni zaidi ya mchawi!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom