Wasau wa JF,
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa...
Ni wazi kuwa vitendo vya viongozi hawa dhidi ya raia vilikuwa ni vya kidhalimu sana. Nchi ilitikisika na kupata doa la Kimataifa hata baadhi ya misaada ikasitishwa!
Ili Serikali ionekane...
Ni ukweli ulio wazi ya kua Nchi yetu pendwa Tanzania ilikuwa inadidimia kwa kasi katika ktk suala la haki za raia wake. Mathalani ilikuwa imekua vigumu kwa watu kupaza sauti zao hata katika mambo...
Arusha,
Hatimaye mkuu wa wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, Alexander Mnyeti ameamua kufunguka kuhusu sakata la kununuliwa kwa baadhi ya madiwani wilayani humo na kukiri kwamba serikali imewanunua...
WAKATI mwingine huwa nastaajabu mambo ya Watanzania. Sidhani kama kuna mtu atapiga hatua yoyote kimaendeleo hapa nchini, endapo atakuwa anawasikiliza Watanzania.
Ipo mifano mingi ya kueleza tabia...
Mbunge wa Viti Maalum Grace Tendega amesema uamuzi wa Tanzania kutoruhusu uraia pacha kunaikosesha fursa nyingi za kiuchumi.
Tendega ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Juni 1, 2021 bungeni wakati...
Hatmaye CCM wameanza kuumizana wao kwa wao "kiukweli-ukweli!"
Nasema kiukweli-ukweli kwa sababu kabla wana CCM walikuwa wakiumizana huku waki-fake kuumizana kwao kwa dhana ya "huyu ni mwenzetu."...
Kiukweli Ole Sabaya wa Hai na Kakoko wa TPA walipendwa sana na hayati Magufuli lakini ndio wamekuwa watendaji wa mwanzo kabisa kuichafua Serikali ya Awamu ya 5 kwamba na yenyewe ilikuwa na...
Picha hii ni ya mwaka 2010, Wa tatu kwa waliokaa kutoka nyuma ni Kassim Majaliwa ambaye wakati huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji. Majaliwa hakuwa hata mbunge wakati huo.
Nyuma ya Majaliwa ni...
Uteuzi wa Kangi Lugola kuwa Naibu Waziri na sasa Waziri wa Mambo ya Ndani. Huyu alishtakiwa kwa kesi ya kupokea rushwa mahakamani na TAKUKURU. Jamhuri ikawasilisha hati mahakamani ya kutokuwa na...
Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha CHADEMA, Esther Matiko amelalamikia gharama kubwa za umeme Tanzania huku akitolea mfano wakazi wanaoishi Kagera na kutumia umeme kutoka Uganda wanalipia...
Teua/tengua aifanyayo Rais na Mwenyekiti wangu Dr. John Pombe Magufuli haina taswira nzuri. Huonesha na kutonesha 'udhaifu' katika teuzi. Kitendo cha Mteule 'kuchongewa' mbele za Mteuwa wake na...
Wakuu msituchoke, tuliahidi kuwafikishia kila kitu kitakachojiri kwenye ziara za Mkakati mpya wa CHADEMA inayoitwa OPERESHENI HAKI, hii ni kampeni ya kuchagiza upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume...
Wakuu habari za usiku na poleni kwa majukumu.Naomba niende kwenye mada. Iko hivi siku za hivi karibuni umeibuka utapeli na wizi wa kutisha na ni hatari sana. Wahanga wakubwa wa tukio hili NI...
MBUNGE MAVUNDE AANZA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIWANJA VYA MICHEZO VYA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI DODOMA JIJI.
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ameanza kuboresha miundombinu...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameagiza kuondolewa katika wizara hiyo mhandisi wa maji wa Wakala wa Maji Vijijini (Ruwasa) Wilaya Hanang, Herbert Kijazi baada ya kuisababishia hasara Serikali ya...
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania kuhusiana na kuwepo kwa makontena yenye makinikia ambayo yameonekana yakisafirishwa kwenda nje ya nchi kuwa makontena hayo yanasafirishwa...
Serikali imesema katika kipindi cha miezi mitatu imefanikiwa kukamata wahamiaji haramu zaidi ya elfu moja katika maeneo mbalimbali nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh.George Simbachawene...
Tumekua na maswali bila majibu imekuaje tena makinikia kuuzwa nje huku tuliambiwa waliokua wakichimba walikua wanatuibia.
DHAHABU: Hii ni biashara kubwa ya 2 au ya tatu duniani baada ya MADAWA YA...
Mbunge mstaafu wa Mbeya mjini kupitia Chadema mh Mbilinyi aka Sugu amesema hata tukiweka siasa pembeni anamkubali na kumpenda mama Samia, mh Rais wa JMT.