Hii ndio taarifa mpya kutoka kwenye magazeti ya Tanzania , bado haijafahamika kama ameachiwa moja kwa moja au analiwa timing , bali ifahamike kwamba ni wachache wanaogusa ofisi ya TAKUKURU...
Hakika inashangaza Sana kwa UONGOZI wa MANISPAA ya SUMBAWANGA ambayo Mwaka 2004 iliyatwaa MASHAMBA ya Wananchi Eneo la KIZWITE na Kulipima VIWANJA na KUVIUZA.
Kabla ya KUVIPIMA Manispaa...
Habar watanzania poleni kwa majukumu
Mpaka Sasa kichwa changu naona kipo tu kama mzigo sababu ubongo ulishindwa kuelewa chochote maana Sabaya nilimuona mzalendo Sana Mpaka nilimkingia kifua...
Kama kweli alimteka na kumtesa kwa kipigo kikali Diwani wa Kata ya Sombetini, Bakari Msangi huko jijini Arusha basi alifanya kosa kubwa sana.
Kwa mujibu wa tovuti ya Sauti Kubwa ni kuwa Bakari...
Ilifikia wakati Wananchi akiwemo mimi nilianza kupoteza imani kwa Viongozi wa Serikali kutokana na kutofautiana sana kati ya kauli na matendo yao, na kati ya mambo yalivyo na yanavyotakiwa kuwa...
Recently we carried, in this column, whispers over Tanzanias alleged involvement in helping the Iranians burst, with impunity, sanctions slapped on her by the United Nations over its perceived...
Siku chache zilizopita DC wa Hai, Ole Sabaya alijitokeza mbele ya vyombo vya habari akiwatuhumu wamiliki wa mabasi ya Limu Safaris na Machame Safaris kuwa wameunda magenge ya kiuhalifu ya uhalifu...
Wahanga wa bomu la Olasiti Arusha wakijaribu kujiokoa!!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana mamlaka na wajibu wa kuhakikisha amani ya nchi inalindwa kwa gharama yoyote ile.
Rais wa JMT...
Ni maswali tata sana mbayo tungependa kumuuliza Shujaa. Ni kweli hakujua kuwa mteule wako anatuhumiwa na kufadhili genge la kihalifu?
-Kama alijua basi kuna haja ya wananchi Kufungua kesi dhidi...
Anaandika Mtozi Alloyce Nyanda
Nimeona Video ya Mfanyabiasha Cathbert imepostiwa na @kumbushodawson
Kumbuso ni rafiki yangu sana na kwa kuwa sisi sote huwa ni waumini wa ujenzi wa hoja basi...
Hebu tuzidi kujiuliza juu ya huu unaoitwa mchanga wa dhahabu ...Je kuna kibali cha kuhamisha mchanga wenye madini ya kopa ilhali wewe umepewa kibali cha kuchimba dhahabu?
Kodi ya huu mchanga ni...
Mzee Mstaafu Kikwete tafadhali mtahadharishe Rais Samia juu ya unafiki wa Kagame maana unamfahamu vizuri.
Kagame ni mtu mbaya sana na yuko radhi kufanya lolote ilimradi apore mali, leo hii taifa...
Hii ndio Taarifa ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe au waweza kumuita Mtemi Isike aliyoitoa kwa waandishi wa habari, alipokuwa kanda ya Magharibi katika ziara yake ya Operesheni Haki...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe ameomba mwongozo wa Spika wa Bunge akitaka chombo hicho cha kutunga sheria kujadili ongezeko la mauaji ya wivu wa mapenzi.
Mbunge huyo ameomba mwongozo...
Salaam Wakuu,
Hapa chini ni Muhtasari wa ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mwaka wa Fedha 2019/2020
===
Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC...
Ukitumia jicho la tatu kwenye machozi mazito aliyotoa aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya kwenye msiba wa kitaifa wa JPM utaelewa yule bwana pale dhamiri yake ilikuwa inaongea waziwazi si msiba...
Hii ndo ipo ivyo Mara nyingi wapinzani wako wanaweza wawe na sababu za msingi kukupinga au wasiwe na sababu za msingi ila ni watu walioamua kukupinga ili waone haufanikiwi katika Jambo...
MAONI YANGU KWA SECRETARIATI YETU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, KUFANYA KAZI MBILI KWA MAANA MUDA SI RAFIKI.
Leo 11:11hrs 05/06/2021
1. Kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-25...
Tulioona mengi kwa miaki mingi tunafahamu kuwa kiongozi hakuibuka tu, na kupewa madaraka ya juu.
Wakati wa Mwalimu walienda mbali zaidi, viongozi walipikwa wakapikika. Na walijua mwishowe kuwa...
Kwa ufupi sana.
Tunaona mama akifanyia kazi malalamiko ya wananchi kuhusu viongozi mahalamia wanaotumia vyombo vya ulinzi kufanya unyanganyi na uporaji na ukandamizaji.
Kwa mambo ambayo alikuwa...