Ukiona wapinzani wako wameanza kukusifu ujue tu kuna sehemu unakosea

goodlif1600

JF-Expert Member
Jun 1, 2016
794
865
Hii ndo ipo ivyo Mara nyingi wapinzani wako wanaweza wawe na sababu za msingi kukupinga au wasiwe na sababu za msingi ila ni watu walioamua kukupinga ili waone haufanikiwi katika Jambo unalolitekeleza kwa wakati huo. Utakapo haribu mambo yakaenda vibaya wao ndo furaha yao watatoka na kusema unaona tuliwambia hafai huyu .

Wanaokupinga Ni watu muhimu Sana kwenye maisha ya kila mmoja wetu hii huongeza hamasa ya kupambana ili ufanikiwe uwakomoe. Lakini ghafla ukiona wapinzani wako wameanza kukusifu inabidi ukae chini ujiulize .
 
Kama ni kuhusu Sabaya jana kasomewa masharti yote ya bwana Jela na kaitika ndiyo bwana mkubwa.
 
CCM sijui mpoje, yaani sheria kufuata mkondo wake kwa sabaya unadhani huo ni udhaifu kwa Samia?

Mashitaka ni kwa mujibu wa sheria, na atasota sana gerezani.. ndo mujue cheo ni dhamana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom