jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,950
- 29,532
Hebu tuzidi kujiuliza juu ya huu unaoitwa mchanga wa dhahabu ...Je kuna kibali cha kuhamisha mchanga wenye madini ya kopa ilhali wewe umepewa kibali cha kuchimba dhahabu?
Kodi ya huu mchanga ni kiasi gani haswa...na je ni kodi tofauti na ile ya madini ya kawaida?
Sijawahi kusikia kampuni ya madini ikiongoza kwa kulipa kodi je tathmini inasemaji kuhusu walichokiingiza toka wakabidhiwe mgodi hadi leo je wameingiza kiasi gani na sisi tumepata kiasi gani kwa wastani wa miaka waliyokaa?
Hii hoja sio ndogo hii!!! Tukumbuke ndugu zetu wamepigwa sana na kuhamishwa kwenye makazi yao kwa hiyo tujadili kizalendo zaidi na sio kutegemea likes na follows za instagram