Jicho la tatu machozi ya Sabaya kwenye msiba wa Hayati Magufuli

malang0

JF-Expert Member
Apr 7, 2021
415
500
Ukitumia jicho la tatu kwenye machozi mazito aliyotoa aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya kwenye msiba wa kitaifa wa JPM utaelewa yule bwana pale dhamiri yake ilikuwa inaongea waziwazi si msiba tu ulikuwa unamliza ila kuna msiba mkubwa zaidi ya huo haswa juu ya hatma ya maisha yake.

Mojawapo wa manga'muzi ni alitoa ujumbe ukionyesha kwamba, 'God father " niliyemtegemea kuliko Mungu wa mbinguni hayupo na sasa maovu yangu na siri zangu zinakwenda kufichika kwa kuwa mshirika wangu hayupo tena.

Pili, utajiri niliyoukusanya kwa njia haramu sasa mwishowake umefika sitapata hela kwa njia za utapeli na uporaji,maovu,ubaya dhuluma nilizowatendea watu huwenda zikanirudi hivyo nitumie fedha haramu nilizopata nijisafishe kupitia vyombo vya habari na nikimsifu Rais maisha yataendelea kama zamani
 
mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
4,612
2,000
Kweli mkuu

FB_IMG_1622751161942.jpg
 
morenja

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
4,501
2,000
Kwa kifupi kitamaduni ukilia chozi jicho moja ni uchuro,unafiki ,nuksi na kuombea uovu ,nakumbuka zamahizo ukipichapwa ukilia chozi jicho moja ,unachapwa tena mpaka utoe machozi macho yote au vinginevyo ufute na uache kulia na haswa jicho la kushoto
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,302
2,000
Alikuwa akimlilia ' Mratibu ' Mkuu wake wa ' Ukatili ' alioufanya huko Hai akiwa DC na sasa aliyemtuma ' Kapumzika ' zake Udongoni Chato huku Yeye ' Mtendaji ' akianza ' Kunyooshwa ' Kisheria na kuanza ' Kugombaniwa ' na ' Mabasha ' waliotukuka huko Mahabusu aliko sasa.
 
Naantombe Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
4,428
2,000
Alikuwa akimlilia ' Mratibu ' Mkuu wake wa ' Ukatili ' alioufanya huko Hai akiwa DC na sasa aliyemtuma ' Kapumzika ' zake Udongoni Chato huku Yeye ' Mtendaji ' akianza ' Kunyooshwa ' Kisheria na kuanza ' Kugombaniwa ' na ' Mabasha ' waliotukuka huko Mahabusu aliko sasa.
Nna wasiwasi kama leo ameamka na marinda yake.

Inatakiwa sasahivi aanze kufagia ule mtaro wa makohozi
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
165,317
2,000
ujumbe ukionyesha kwamba, 'God father " niliyemtegemea kuliko Mungu wa mbinguni hayupo na sasa maovu yangu na siri zangu zinakwenda kufichika kwa kuwa mshirika wangu hayupo tena.

Pili, utajiri niliyoukusanya kwa njia haramu sasa mwishowake umefika sitapata hela kwa njia za utapeli na uporaji,maovu,ubaya dhuluma nilizowatendea watu huwenda zikanirudi hivyo nitumie fedha haramu nilizopata nijisafishe kupitia vyombo vya habari na nikimsifu Rais maisha yataendelea kama zamani
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
28,783
2,000
Alijua Mwamba Wake Amelala Lazima Ile Surat~Alkaba
Nitawatieni Kwenye Msukosuko Ndiyo Yametimia
 
mgoloko

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
4,786
2,000
Alikuwa akimlilia ' Mratibu ' Mkuu wake wa ' Ukatili ' alioufanya huko Hai akiwa DC na sasa aliyemtuma ' Kapumzika ' zake Udongoni Chato huku Yeye ' Mtendaji ' akianza ' Kunyooshwa ' Kisheria na kuanza ' Kugombaniwa ' na ' Mabasha ' waliotukuka huko Mahabusu aliko sasa.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
othuman dan fodio

JF-Expert Member
Jan 2, 2018
2,556
2,000
Mimi nasema hivi tena narudia "asante deportivo la coruna kwa mchango wako wa hali na mali"

Isingekuwa nchi ya Hispania kuwa na klabu ya derpotivo la coruna leo hii wa Tanzania bado tungekuwa tunalia na kusaga meno

Tunaomba hiyo klabu ikacheze na bungeni ili tuwe huru kamili.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom