Jimbo la Tabora Mjini ni miongoni mwa Majimbo ambayo yametoa wasaliti wa Covid 19 , Hawa Mwaifunga anatokea Jimbo hili , hivyo ni lazima kuwekwe mikakati maalum kwenye jimbo hili , na ndio maana...
Nimeona aibu sana na niliondoka kimya kimya huku nikisononeka inakuwaje Rais wa Nchi anajidhalilisha kwa mcheza mpira? Au ndio ukisikia itifaki imezingatiwa ndio huku?
Tena kwa red carpet kesho...
Wakuu Hivi Kumbe Hela Ya Matumizi Ya Kawaida Inakuwaga Kubwa Kuliko Hela Ya Maendeleo Kwenye Budget?
.....
Ebu angalia Kama Hili Jambo,
Tril.1 maendeleo na Tril.11 matumizi ya kawaida.
Kuanzia leo tarehe 6-6-2021, kupitia CHADEMA Digital App, nimefanikiwa kwa mara ya kwanza kuwa mwanachama wa chama Cha siasa hapa nchini kwetu Tanzania.
Mwaka jana, 2021 ilikaribia kidogo niwe...
Mashtaka yako uliyosomewa ni madogo sana, Sabaya ulipaswa kukaa Gereza lenye Mateso makubwa na kazi ngumu hasa yale magereza ya Kilimo
Kikosi chako maalum cha mabaunsa kimevunja watu miguu na...
Hodi wanajamvi,
Ambaye hajachoshwa na Ndugai anyoshe mkono ama afanye kama anajikuna tu ili tumuone hapa.
Sipika wetu Ni Kati ya watu wasioweza kusimama Kwenye msimamo mmoja.
Kipindi cha Hayati...
Siku chache zilizo pita tulipata shida ya LUKU kununua umeme mitandaoni.
Mh. Waziri mkuu akaenda Tanesco na kuondoka na wataalam wa IT. Tulidhani suluhisho limepatikana. Leo tena kuna shida ya...
Ndugu Zangu naomba kueleweshwa kidogo, nataka kufahamu Je Bunge Lina vikao vingapi kwa mwaka? Na Pia wanavyosemaga bunge la 12, au bunge la 10 huwa wanamaanisha nini?
Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Bunge lazima liwajibike katika kusimamia Serikali ili ije na Bajeti ambayo inatekelezeka kwa asilimia 100 huku ahadi zinazotolewa nazo zikitekelezwa...
Sakata la watumishi waliofukuzwa kazi kwa vyeti feki limetinga bungeni baada ya mbunge wa viti maalumu Halima Mdee kuhoji nini mstakabadhi wa malipo ya mafao yao.
Mdee amehoji hilo leo Jumatatu...
Hii ndiyo Taarifa mpya kutoka Tabora , Kwamba Mwamba Mbowe akiwa katika harakati za Operesheni Haki huko Kanda ya Magharibi, amevamiwa na Kundi la Mama Lishe huku wakimtaka kupiga nao picha ya...
Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza bungeni alipokuwa akiwaonya wabunge kutoleta taarifa za kutambulishwa bungeni waume au wake za watu wakidai ni waume au wake zao, alipokuwa akiongoza kikao...
Nilikua nawaza kwamba:
Lingejikita kujadili hoja nzito zifuatazo.
1. Uanzishwaji wa Viwanda ili kuongeza ajira
2. Ujasiriamali kwa vijana na lioneshe maeneo Mahususi
3. Uwekezaji wa kigeni ili...
Mbunge wa Jimbo la Bunda, Boniface Mwita Getere amesema Mkandarasi alipewa Barabara tangu 2013 na amalize 2015 lakini hakumaliza. Alipewa tena 2015-2017, 2017-2019, 2019-2021 na bado hajamaliza...
Ikiwa Viongozi Wakuu na baadhi ya waheshimiwa wakiugua hakuna taarifa yoyote ya Spika kutolewa kwa wananchi.
Je, kuna sheria gani au ulazima gani wakutambulishana ME/KE wa mheshimiwa Fulani...
Mbunge Luhaga Mpina ametahadharisha mlipuko wa COVID19 usiwe kinga kwa watu waliozembea kukusanya mapato ya Serikali kwa kisingizio cha Ugonjwa huo.
Katika mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Fedha...
Profesa Kabudi, Mwalimu nguli huyu wa udsm alisema ametolewa jalalani, Maoni yote ya katiba mpya aliyosimamia akasema hayana kazi kwa sasa, Zilikuwa ni enzi ni enzi kweli kweli
Dr Bashiru, Huyu...