Natambua wanafanya kazi kubwa lakini hii dosari ya wao kuomba rushwa waziwazi inapaswa ikemewe na wewe Ili wananchi tuwe vifua mbele hata kutuomba rushwa wataogopa.
Hawa ndio mojawapo ya kundi la...
Nilimsikia waziri wa fedha akisema, kwa ajili ya kukuza kilimo cha umwagiliaji vikundi vya skimu za umwagiliaji, vitatozwa ada ya kuendeleza miradi ya umwagiliaji.
Hivi ni kweli kwamba serikali...
Wakurugenzi hao walishindwa kujibu swali kwenye mkutano leo kuhusu kiasi gani cha fedha kilichotengwa kwa ajili ya road fund
Kujua Kilichojiri kwenye mkutano huo, soma=>News Alert: - Mkoani...
Mambo yanaendelea huko tufuatilie kasi ni ile ile kazi iendelee.
========
Rais Samia Suluhu ameongoza shughuli za kuzindua Mitambo na kwa sasa zoezi linaloendelea salamu za watu mbali mbali...
Jamiiforums naona kuna baadhi ya threads mnazi delete bila sababu ya msingi. Tupeane Mwongozo Zinatakiwa threads za namna gani pekee?
Tunashukuru pia kijiografia nchi kama Usa, Ugiriki, Misri...
Kauli hii ya Kizalendo imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika , wakati akiongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya kuliko jambo lingine...
Ameandika hivi kupitia Twitter:
Waziri Simbachawene, kuwapatia Polisi viwanja vya ujenzi wa nyumba, utekelezaji wake ni mgumu. Muhimu ni kuongeza masilahi bora kwa Polisi na Serikali ije na...
Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais( Ikulu) ni nafasi mbili tofauti zenye majukumu tofauti.
Lakini kwa uteuzi wa Gerson Msigwa na Jaffari Haniu itakuwa vigumu sana...
Kwa vile tuliahidi kuwaletea kila kitakachojili kwenye ule mpango mpya wa Chadema unaoitwa Operesheni Haki , na kwa vile bado mpaka sasa Ahadi inatajwa kuwa deni nchini Tanzania, basi hatuna budi...
Brazilian President Jair Bolsonaro was fined $100 Jana Jumamosi for violating Covid-19 containment measures in Sao Paulo state by failing to wear a face mask and provoking huge crowds at a...
Kama taifa ,tumefikia mahali ambapo kila neno linatakiwa kutamkwa kwa herufi zake bila kutumia tafsida ili kuepuka kuficha makali yake. Kwa ujumla taifa linanuka,linaumwa na kansa na limevimba...
Hello JF
Ninaswali kuhusu katiba yetu ya sasa, Je endapo Magufuli ataangushwa na Lissu kwenye uchaguzi huu, upo uwezekano wa yeye kugombea tena 2025 ili kumalizia tena ngwe yake ya pili ya mitano...
Rais wangu, nimekusudia kuendelea kukuandikia kwa nguvu zangu zote. Ninafanya hivi kwa utambuzi kuwa haya ndio mapenzi yangu kwako, ndio wajibu wangu wa msingi kama Mwana-CCM na Mwananchi mwema wa...
Ndani ya miezi miwili tumeshuhudia viongozi wakubwa wawili toka enzi za awamu ya mwendazake wakikutana na madhila makubwa tu kutokana na tabia yao ya kujikomba/kujipendekeza/kujiparata kwa...
Taarifa ya ghafla iliyosambazwa na Chama hicho inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika saa 7 kamili mchana wa leo , kwenye makao makuu ya Chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni ...
Kodi ya SALIO
Hapa serikali ilipaswa kufanya utafiti ingegundua kuwa watu wengi wanaweka salio kupitia nipige tafu,songesha, na nyingine za kukopa kupitia makampuni ya simu..yaani wananchi...
KCBL YASHUSHA NEEMA YA MIKOPO YA BODABODA NA BAJAJI MOSHI, MEYA RAIBU ATEMA CHECHE
Na Mwandishi Wetu, Moshi Kilimanjaro
Benki ya KCBL imetambulisha rasmi huduma yake kabambe ya kuwakopesha...
Wana jamii kama kuna kipindi kizuri cha kuanzisha chama cha kisiasa na kupata wafuasi ni sasa, kwa sababu zifuatazo;-
Kuna tofauti ndani ya chama Tawala na ndani ya vyama vya upinzani; CDM, CUF...
9 June 2021
The ambassadors answer topics touching Business matters and how Nordic companies operates in Tanzania.
REPOA commissioned a survey on Nordic companies that are in Tanzania and...
Kwanza hongera kwa kuleta wazo hilo lakuomba uwepo wa uhamasishaji na elimu kwa wananchi kuchangia kupata katiba mpya ikiwa serikali itasingizia uviko umeshusha uchumi.
Ni wazo zuri na la...