luvcyna
JF-Expert Member
- Feb 24, 2009
- 1,848
- 1,938
Hello JF
Ninaswali kuhusu katiba yetu ya sasa, Je endapo Magufuli ataangushwa na Lissu kwenye uchaguzi huu, upo uwezekano wa yeye kugombea tena 2025 ili kumalizia tena ngwe yake ya pili ya mitano tena?
Kama inaruhusu, Binafsi ningependa apewe nafasi ya kugombea tena kama atashindwa kushinda kwenye uchaguzi huu, wakati huo utakuwa mzuri kwetu watanzania kupima utekelezaji wa wagombea wetu wote wawili maana tutakuwa na experience ya uongozi wao wote wawili tulipowakabidhi Ikulu.
Sijui ninyi mnaonaje.