President fined - Tunahitaji wengine wasiwe Juu ya sheria hapa TZ.

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,946
3,820
Brazilian President Jair Bolsonaro was fined $100 Jana Jumamosi for violating Covid-19 containment measures in Sao Paulo state by failing to wear a face mask and provoking huge crowds at a motorcycle rally for supporters.

Na juzi polisi mmoja hapa Dar aliwakamata polisi waliokuwa wakitumia gari yao private kwa kutumia njia ya mabasi ya mwendo kasi .ikawa mshike mshike almanusra watiane makofi wenyewe kwa wenyewe.
Kweli sheria ikifuatwa basi yajayo yatakuwa yanafurahisha.
 
Apewe uaijipii anatufaa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom