Mafanikio Makubwa ya Kitabibu Yafanyika. Hongera Serikali Awamu ya 6

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,510
23,722
Jamiiforums naona kuna baadhi ya threads mnazi delete bila sababu ya msingi. Tupeane Mwongozo Zinatakiwa threads za namna gani pekee?

Tunashukuru pia kijiografia nchi kama Usa, Ugiriki, Misri sasa zimesogezwa karibu na Tanzania.

Screenshot_20210613-095300~2.png
 
tehetehetehe,
marekani usitake ncheke!
labda wanakuja kufanya majaribio kwa sisi guinea pigs..
nnachojua madaktar wa huko ulaya wakimaliza kozi huja huku FIELD hadi akikomaa ndo anarudi kwao
 
Nyoosha maelezo
Sema hongera serikali ya Mama Samia Suluhu wa AWAMU ya 6
Basi inatosha
 
Wakuu some time mama hanakuwa na emotional kwenye baadhi ya maongezi.

Ila kwa haya maneno katupiga pakubwa sana.
Ulaya na Amerca wametupa vifaa ivyo then waje wapange foleni Tz.
 
Tunataka mitambo kama hiyo ya kisasa ifike hospital zote za Kanda ikiwemo hospital ya Rufaa ya Kanda Mbeya
 
Back
Top Bottom