MSHINO
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,067
- 709
Wana jamii kama kuna kipindi kizuri cha kuanzisha chama cha kisiasa na kupata wafuasi ni sasa, kwa sababu zifuatazo;-
Kuna tofauti ndani ya chama Tawala na ndani ya vyama vya upinzani; CDM, CUF na ACT si shwari, ndani ya CCM kuna msuguano mkali wapo wanaopenda kuona mabadiliko km alivyoanza R.I.P JPM, kuna wanao ona Mama Samia anafuata mfano wa utawala wa JK. wengine wanaona wote walienda tofauti.
Kama mnakumbuka Marehemu JPM alipata wakati mgumu kwenye kampeni mpaka akawa anasema yeye siyo mwana siasa yeye anachojua ni kazi tu. Baada ya hapo tuliona wengine wakilalamika kuwa walikatwa mikia.
Siku hizi hakuna wanasiasa jasiri km akina Kasangatumbo, Fundikila, Mchungaji Mtikila, Maalim Seif na lile group lilojaribu kuanzisha chama cha CCK, viongozi wa sasa wanakufa na tai shingozni, ni waoga.
Kama kuna yoyote atakaeweza kuanzisha chama kipya sasa hivi atavuna kutoka CCM na vyama vya upinzani.