Rais Samia rejesha hadhi ya Ukuu wa Wilaya

PANAFRICA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
200
250
U-DC ni cheo kikubwa na chenye heshima kwani ndiye mwakilishi wa Rais kwenye eneo husika.

Ndani ya miongo miwili iliyopita tulianza kushuhudia wakiteuliwa watu wa ajabu ajabu na ndiyo maana sasa tunashudia matukio ya ajabu ambayo hayajawahi kushuhudiwa tangu nchi yetu ipate Uhuru.

Hili limesababiswa na teuzi bila kuzingatia haiba na heshima ya cheo hicho kwa vigezo vya mipango-kando, slay queens, play boys nepotism nk na kufanya cheo hicho nyeti sana kupoteza heshima yake.

Enzi za akina Jakaya Mrisho Kikwete, Jenerali Ulimwengu na wengineo wakiwa wakuu wa wilaya, U-DC ulikuwa ni U-DC kweli kweli.

Ushauri wangu ingawa siyo nia yangu kuwamharibia MTU yeyote, niombe miongoni mwa vigezo vya uteuzi wa nafasi hyo, basi ndoa iwe ni kigezo muhimu sana kabla ya uteuzi.

Kuna mtu aliwahi kukosa nafasi kwenye kampuni fulani kubwa pamoja na kuwa na qualification zote, akakosa kwa sababu ya ndoa.

Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Kazi iendeleee.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
28,309
2,000

U-DC ni hivi:
1. Sehemu ya kuwazawadia malaya/hawala/waunga juhudi asante.
2. Kuwatuza makada wa chama kama asante
3. Kuwapangia wauaji wa kisiasa kama akina Sabaya
4.............................. endelea

Hivyo lazima hadhi ife kama ilivyokufa hadhi ya bunge na Uspika
 
Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,564
2,000
Ngoja tuone kwenye wakuu wa wilaya , wakurugenzi na makatibu tawala kama mama atafaulu ? Maana teuzi za mawaziri , wakuu wa mikoa na makatibu wakuu amefeli vibaya sana kwa kuhamishahamisha tu watu bila ya kuwatoa wabovu ambao hata ukiuliza mtoto mdogo atakwambia mkuu wa mkoa fulani hafai , pia kosa lingine kuwapandisha vyeo wakurugenzi kuwa makatibu tawala mkoani huku wakiwa na hati chafu za ukaguzi wa CAG , Nepotism ya waziwazi unateua mke was Ndugai ,Kabudi bila aibu kama vile hamna watanzania wengine .
 
At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
3,818
2,000
Unajua muongo mmoja una miaka mingapi.
Unaandika vitu hata mwenyewe huvielewi.
 
VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
4,941
2,000
Shida ilianzia kwa JK, mwendazake akaharibu kabisa hadhi na heshima DC ,RC.
Mama anadhamira njema Ila anahofu na pressure wafuasi mwendazake.
 
Statistics

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
1,558
2,000
Tunataka DC awe na sifa zifuatazo
1. Elimu kuanzia digrii.
2. Mtanzania
3. Umri kuanzia miaka 30
4. Hana rekodi ya makosa.

Mtu akitimiza hayo awe na sifa zifuatazo:

1. Awe mwajiriwa wa serikali au shirika binafsi au chama cha siasa na kutumikia Taasisi yake angalau miaka 5

2. Kama ni kiongozi wa chama (asiye mwajiriwa) awe amehudumu kwa vipindi viwili na hana skendo ya rushwa, ubaguzi na ulevi.

3. Wastaafu wa utumishi wa umma na binafsi hata wakiwa na f6 wateuliwe
 
Zombi Mweusi

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
371
500
Sijawahi kumsikiliza mkuu wa wilaya kwanza hawana maana hata ukimuuliza mtoto wa shule mkuu wa wilaya yako anaitwa nani hajua ni kicheo fulani cha wajingawajinga kuwafanya kuwa wajanja
 
Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
21,594
2,000
Wachaguliwe watu wazima wenye hekma na busara ya uongozi. Hawa ya uvccm mabega juu sana hawafai.
 
kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
2,985
2,000
U-DC ni hivi:
1. Sehemu ya kuwazawadia malaya/hawala/waunga juhudi asante.
2. Kuwatuza makada wa chama kama asante
3. Kuwapangia wauaji wa kisiasa kama akina Sabaya
4.............................. endelea

Hivyo lazima hadhi ife kama ilivyokufa hadhi ya bunge na Uspika
Uende JKT ili comment kama hizi zipumzike. Wewe unaonaje?
 
PANAFRICA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
200
250
Unajua muongo mmoja una miaka mingapi.
Unaandika vitu hata mwenyewe huvielewi.
Muongo mmoja una miaka kumi kwa kimombo tunata decade. nikimaanisha kwamba mambo yalianza kuharibaka kwenye early 90s
I stand to be corrected
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
3,619
2,000
U-DC ni cheo kikubwa na chenye heshima kwani ndiye mwakilishi wa Rais kwenye eneo husika.

Ndani ya miongo miwili iliyopita tulianza kushuhudia wakiteuliwa watu wa ajabu ajabu na ndiyo maana sasa tunashudia matukio ya ajabu ambayo hayajawahi kushuhudiwa tangu nchi yetu ipate Uhuru.

Hili limesababiswa na teuzi bila kuzingatia haiba na heshima ya cheo hicho kwa vigezo vya mipango-kando, slay queens, play boys nepotism nk na kufanya cheo hicho nyeti sana kupoteza heshima yake.

Enzi za akina Jakaya Mrisho Kikwete, Jenerali Ulimwengu na wengineo wakiwa wakuu wa wilaya, U-DC ulikuwa ni U-DC kweli kweli.

Ushauri wangu ingawa siyo nia yangu kuwamharibia MTU yeyote, niombe miongoni mwa vigezo vya uteuzi wa nafasi hyo, basi ndoa iwe ni kigezo muhimu sana kabla ya uteuzi.

Kuna mtu aliwahi kukosa nafasi kwenye kampuni fulani kubwa pamoja na kuwa na qualification zote, akakosa kwa sababu ya ndoa.

Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Kazi iendeleee.
Wakinamama waliogombea uNec Taifa mwaka 2017 kupitia ccm wametelekezwa hata nafasi moja hawakupewa ndani au nje ya chama. Mama wakumbuke wamama hao.
 
Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
14,671
2,000
Shida ilianzia kwa JK, mwendazake akaharibu kabisa hadhi na heshima DC ,RC.
Mama anadhamira njema Ila anahofu na pressure wafuasi mwendazake.
Kibaya zaidi Mama hapindui kwa JK. Makalla alishasahaulika, Buriani alishapotea na bado wengi tu wa awamu ya nne watapeta awamu hii.
 
At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
3,818
2,000
Muongo mmoja una miaka kumi kwa kimombo tunata decade. nikimaanisha kwamba mambo yalianza kuharibaka kwenye early 90s
I stand to be corrected
Sasa Mbona umemsifia Kikwete. Wakati tayari mambo yalishaharibika.
 
Sonofsoil

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
1,969
2,000
Poin
U-DC ni cheo kikubwa na chenye heshima kwani ndiye mwakilishi wa Rais kwenye eneo husika.

Ndani ya miongo miwili iliyopita tulianza kushuhudia wakiteuliwa watu wa ajabu ajabu na ndiyo maana sasa tunashudia matukio ya ajabu ambayo hayajawahi kushuhudiwa tangu nchi yetu ipate Uhuru.

Hili limesababiswa na teuzi bila kuzingatia haiba na heshima ya cheo hicho kwa vigezo vya mipango-kando, slay queens, play boys nepotism nk na kufanya cheo hicho nyeti sana kupoteza heshima yake.

Enzi za akina Jakaya Mrisho Kikwete, Jenerali Ulimwengu na wengineo wakiwa wakuu wa wilaya, U-DC ulikuwa ni U-DC kweli kweli.

Ushauri wangu ingawa siyo nia yangu kuwamharibia MTU yeyote, niombe miongoni mwa vigezo vya uteuzi wa nafasi hyo, basi ndoa iwe ni kigezo muhimu sana kabla ya uteuzi.

Kuna mtu aliwahi kukosa nafasi kwenye kampuni fulani kubwa pamoja na kuwa na qualification zote, akakosa kwa sababu ya ndoa.

Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Kazi iendeleee.
Point nzito sana Mh. Rais wa JMT. Ndoa ndoa ndoa ndoa .......naiheshimiwe na watu wote
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom