Prof. Ndalichako alikurupuka baada ya kauli ya Rais kuhusu somo la Historia ya Tanzania

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
2,198
2,000
Baada ya Prof Ndalichako kukurupushwa na Rais, sasa aja na kali ya mwaka.

Nimegundua prof. Ndalichako sio mwalimu kwa kusomea.

Ameamua kuanza kufundishwa masomo mawili ya Historia kwa darasa moja kwa shule moja. Mfano kidato cha nne wataspma masomo mawili ya Historia, moja somo la history litafundishwa kwa English na somo jingine la History litafundishwa kwa Kiswahili.

Sasa kuhusu kidato cha sita mfano PCB, watasiti kwa lazima somo la history linalofundishwa kwa kiswahili. That mean mwanafunzi wa PCB kidato cha sita kabla alikuwa anafanya mitihani ya kumalizia jumla ilikuwa paper 11, physics paper tatu. Biology paper tatu, chemistry paper tatu, Bam paper moja, social studies paper moja na sasa ataongezewa paper moja ya somo la history. Jumla zitakuwa paper 12.

Sasa kulingana na maelezo yake, yafuatayo yatajitokeza;-

1. Watahitajika walimu waongeze.
2. Vitabu vitungwe vipya
3. Mitihani itaongezeka gharama na siku za kusimamia
4. Muda wa masomo au vipindi itaongezeka

Na mengine mengi.

Ushauri:
Mama huyu ninamshauri somo la history lililopo liboreshe kuanzia msingi Hadi sekondari kidato cha nne. Na liboreshe kidato cha tano na sita kwa wale wanaolisomea au combination zake tu. Pia anaweza kufanya language of instructions iwe Kiswahili ni sawa. Ila asiongeze liwe somo jipya na kuongea gharama ambazo hazistaili.

Alichokisema ni kuongea mzigo na gharama za bure kwa Baraza la mitihani Tanzania alikofanyia kazi pakamshinda.
 

mkorea

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
2,928
2,000
Ndalichako

Ushauri wangu nikiwa huku bonyokwa

Kwasababu somo la history o level lipo, basi liboreshwe zaidi, ikiwezekana lifundishwe kwa lugha hyo ya kiswahil ila liziongezeke somo lingine

Kwa A level, ile GS liboreshwe na pia lijikite zaidi kwenye historia ya nchi yetu kuliko kuwasoma sana akina Plato na story zao za kuzaliwa tena ukifa, ila lisiongezeke somo

Cha kuzingatia, waziandikwe wapuuzi yeyote mule,
Zaidi zaidi machifu wetu, waliopambania Uhuru, na mwalimu jk N.

Asiandikwe mpuuzi yeyote humo zaidi ya hao
 

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
13,009
2,000
Usiwe na wasiwasi mkuu, hili somo lao la HISITORIA litadumu miaka 4 tu hadi 2025 litajifia kama ilivyokufa CHEMIPHYSICS. Huyu Ndalichako ni fotokopi ya Mungai.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom