Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

DKT MWIGULU, WAZIRI WA FEDHA NINAOMBA UFAFANUZI KIDOGO JUU YA MAKATO YA VOCHA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kwanza Mhe Waziri nikupongeze kwa hotuba YAKO nzuri ya Bajeti. Mimi si mchumi, lakini...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
WAHARIRI WAPIGWA MSASA KUIFAHAMU WIZARA YA MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI Na Mwandishi wetu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imefanya mkutano na wahariri wa vyombo vya habari...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu amekua akizunguka maeneo mbalimbali akisisitiza ukusanyaji wa mapato na matumizi sahihi ya fedha hizo, amewataka viongozi waliopo chini ya wizara yake kuzingatia...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Chama cha Mapinduzi kimetoa shinikizo kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kumtaka Waziri wa Sheria na Katiba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Abubakar Khamis Bakar ajiuzulu kwa madai ya...
4 Reactions
64 Replies
7K Views
THE BASHITE EFFECT: Nchini Tanzania kuvunja muungano ni jambo rahisi sana kuliko kumfukuza kazi Makonda. Uongozi ni sayansi, Sayansi ni muunganiko wa kanuni mbalimbali za kitaalamu...
36 Reactions
48 Replies
7K Views
Bismillahir Rahmaanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA SHEIKH MSELEM SHEIKH FARID WAKO NYUMBANI ZANZIBAR Masheikh zetu wawili wako majumbani kwao na familia. Tutaendelea kukupeni taarifa awamu...
48 Reactions
609 Replies
45K Views
Sikiliza Video fupi ya Mchango wa Mbunge wa Jimbo la Igunga kwenye kuchangia Mpango wa Maendeleo wa Taifa Bungeni ======= Akizungumzia suala la Ushirikishwaji katika Utumishi Umma, Mbunge wa...
8 Reactions
15 Replies
3K Views
Leo tena jamii ya Watanzania wameshusha pumzi kwa mara nyingine baada ya kusikia Mashehe wa uamsho kuachiliwa huru. Kuna maoni mengi sana kwa watu. Mengi ya maoni hayo pamoja na kupongeza kitendo...
20 Reactions
65 Replies
7K Views
Mabibi na mabwana mheshimiwa Rais wetu mpendwa mama Samia amepasua mbarika tena leo. Akiongea na vijana Mwanza, mh. Rais katamka angependa kuendelea kukaa zaidi Mwanza, ila taratibu na sheria...
34 Reactions
156 Replies
19K Views
Nimekuwa nikimsikiliza sana Gambo kwa mengi anayosema. Ukweli nimetokea kuwa mtu ambaye namfurahia sana, kwa kuwa amekuwa mtu anaetoa kauli makini zenye kujenga bila hofu katika kuielekeza na hata...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
WADAU Nawasalimu. Hakika Kati ya Vitu ambavyo Hayati BABA wa TAIFA alivisimamia na Kuvisemea Muda wote na Kwa Nguvu zake zote ni KATIBA ya NCHI. Hayati BABA Wa TAIFA alikuwa Anasisitiza VIONGOZI...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
Nilikua naomba sana Ukomo wa ubunge uwe miaka mitano tu ili kupisha wengine wenye mawazo na mitazamo tofauti kuingia bungeni. Saa nyingine tunachelewa kuendelea kwa kuwa na wabunge walewale miaka...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mzee wangu Azzan Zungu anazeeka vibaya, kwani hawezi kuwasilisha hoja yake bila kuwabagua watu? Kwa takwimu gani alizonazo kuweza kuwatofautisha watu waliopo mtandaoni! Nimkumbushe kina Sarungi...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Ni wazi kuwa Tanzania tangu ugonjwa huu mkubwa ulipuke duniani kote tumeendelea kuchukua tahadhali ikiwa njia ya kutumia dawa zetu za kienyeji pamoja na kujifukiza hii njia ilituvusha mwaka 2020...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Former Hai District Commissioner Lengai Ole Sabaya will on Friday appear in court for the second time to answer to six charges facing him. However, the Tanzania Prevention and Combating of...
24 Reactions
142 Replies
13K Views
Kuelekea 2015 tutaona mengi ikiwa na pamoja na sharubu za simba kuchezewa na swala. Rhobi Chacha na Musa Mateja Waziri Mkuu Mstaafu aliye pia Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Ngoyai Lowassa...
0 Reactions
26 Replies
14K Views
Chanjo ni mojawapo ya suluhu ya kukabiliana na janga la Covid-19, wanasema wataalamu wa afya. Lakini kuna hofu kuwa nchi tajiri zaidi duniani zinaweza kujilimbikizia dozi za chanjo na kuzifanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haujambo mwana Jf? Mimi ni mzima buheri wa afya, namshukuru Mungu kwa ulinzi wake na kunipa uhai mpaka sasa. Moja kwa moja kwenye mada yetu ya leo. Tangu kifo cha Rais wa awamu ya Tano , Hay...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi ya uhujumu uchumi na kuwaachia huru wafanyakazi sita wa kampuni ya meli ya Sinota Shipping Company waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka matatu...
10 Reactions
45 Replies
6K Views
Maoni yangu juu ya katiba mpya kama mnavyoniuliza; Serikali yetu ya CCM chini ya rais samia haijakataa rasmi katiba mpya; ni suala la msingi kwa Watanzania ndio maana ilianzisha mchakato wake...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…