Kamati ya Maadili CCM, Mrisho Gambo anajijenga mwenyewe na anakibomoa Chama

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
Kwa maelezo ya Mbunge wa Arusha inathibitisha kabisa utawala wa awamu ya tano haukufuata sheria za nchi.

Gambo katika michango take Mara kwa Mara ameonyesha kama alikuwa RC kivuli.

Ndugu zangu sana CCM hii inatoa ushahidi tosha kuwa Yale aliyokuwa anayasema LISU wakati wa kampeni na kabla ya kampeni ni kweli.

Naomba kamati ya maadili ya CCM imhoji GAMBO ili kunusuru uvumi.

Ikumbukwe kuwa miaka 6 kati ya wanasiasa waliokuwa wakweli ndani ya CCM na ndani ya bunge ambaye hakuwa mnafiki ni BASHE TU.
Alikuwa tayari mbele ya bunge kuhojiwa.

BASHE aliyaona akasema ni kijana.

GAMBO alinyamaza, sasa anasema ni kijana

KHERI JAMES alisema wapinzani tutawadunda sindano, ni kijana

Vijana wa CCM tupo?
 
Falaa yule katika darasa wale ndio vichomi tule wote halafu uanze story za kibwege.

Gamboshi shinyanga hana akili hajui kuchanganua mambo hata kidogo anafikili anao waponda hawapo wala hawamuoni wametulia ila tu mlango wao umfungwa saivi wanapiga mahesabu upya waingiaje mjini na ushamba wao.

Gamboshi shinyanga ni kama amakalilishwa mambo ya kusema naona ana akili nzito bora ya msukuma anajuaga kuleta mada mpya zenye vichwa na kimsimamo.

Gamboshi shinyanga kwa sababu ni mbunge ila sina uhakika kama atarudi hazijui akili za samia haelewi kama mama samia kuna watu anawachora kama huyo ambae mambo yalisha lalamikiwa na upinzani toka muda.

Saivi yeye ndio anaona point na anajihisi jasiri mi namuona mbuzi tu anae mnanga kwa hio sehemu aliyopo anajichoma sana bora ingekua twitter.

Mwisho.
 
Kwa maelezo ya Mbunge wa Arusha inathibitisha kabisa utawala wa awamu ya tano haukufuata sheria za nchi.

Gambo katika michango take Mara kwa Mara ameonyesha kama alikuwa RC kivuli.

Ndugu zangu sana CCM hii inatoa ushahidi tosha kuwa Yale aliyokuwa anayasema LISU wakati wa kampeni na kabla ya kampeni ni kweli.

Naomba kamati ya maadili ya CCM imhoji GAMBO ili kunusuru uvumi.

Ikumbukwe kuwa miaka 6 kati ya wanasiasa waliokuwa wakweli ndani ya CCM na ndani ya bunge ambaye hakuwa mnafiki ni BASHE TU.
Alikuwa tayari mbele ya bunge kuhojiwa.

BASHE aliyaona akasema ni kijana.

GAMBO alinyamaza, sasa anasema ni kijana

KHERI JAMES alisema wapinzani tutawadunda sindano, ni kijana

Vijana wa CCM tupo?
Yeye mwenyewe alimtesa sn Lema acha afe kivyake
 
Gambo katika michango take Mara kwa Mara ameonyesha kama alikuwa RC kivuli.

Ndugu zangu sana CCM hii inatoa ushahidi tosha kuwa Yale aliyokuwa anayasema LISU wakati wa kampeni na kabla ya kampeni ni kweli.

Naomba kamati ya maadili ya CCM imhoji GAMBO ili kunusuru uvumi.
Hiyo kamati imhoji Gambo kwa lipi? Kuna jipya ambalo Gambo kaliongea wewe hukuliona chini ya utawala wa mwendazake?

Au kwasabb anasema ukweli na ukweli unawagusa na kuwaumiza CCM wa kundi la push gang Sasa unataka kumuundia zengwe Gambo?

CCM inasema " nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko". Gambo endelea kuutua mzigo kwa kuusema ukweli.
 
Kwa maelezo ya Mbunge wa Arusha inathibitisha kabisa utawala wa awamu ya tano haukufuata sheria za nchi.

Gambo katika michango take Mara kwa Mara ameonyesha kama alikuwa RC kivuli.

Ndugu zangu sana CCM hii inatoa ushahidi tosha kuwa Yale aliyokuwa anayasema LISU wakati wa kampeni na kabla ya kampeni ni kweli.

Naomba kamati ya maadili ya CCM imhoji GAMBO ili kunusuru uvumi.

Ikumbukwe kuwa miaka 6 kati ya wanasiasa waliokuwa wakweli ndani ya CCM na ndani ya bunge ambaye hakuwa mnafiki ni BASHE TU.
Alikuwa tayari mbele ya bunge kuhojiwa.

BASHE aliyaona akasema ni kijana.

GAMBO alinyamaza, sasa anasema ni kijana

KHERI JAMES alisema wapinzani tutawadunda sindano, ni kijana

Vijana wa CCM tupo?

Gambo yupo mji wa wafanyabiashara Arusha asiko watetea na kuongea ukweli atakuwa hafanyi uwakilishi wake. Ukiwa mtu wa kusifia tu huwezi kushinda Arusha na anajua hilo
 
Kila mtu ananafasi ya kutubu Duniani acha aseme kwani nani anaona aibu wakati ndio tumeishi humo humo kwenye utawala wa Kikatiri kuwahi tokea katika Historia ya Tanzanaia.
 
Kwa maelezo ya Mbunge wa Arusha inathibitisha kabisa utawala wa awamu ya tano haukufuata sheria za nchi.

Gambo katika michango take Mara kwa Mara ameonyesha kama alikuwa RC kivuli.

Ndugu zangu sana CCM hii inatoa ushahidi tosha kuwa Yale aliyokuwa anayasema LISU wakati wa kampeni na kabla ya kampeni ni kweli.

Naomba kamati ya maadili ya CCM imhoji GAMBO ili kunusuru uvumi.

Ikumbukwe kuwa miaka 6 kati ya wanasiasa waliokuwa wakweli ndani ya CCM na ndani ya bunge ambaye hakuwa mnafiki ni BASHE TU.
Alikuwa tayari mbele ya bunge kuhojiwa.

BASHE aliyaona akasema ni kijana.

GAMBO alinyamaza, sasa anasema ni kijana

KHERI JAMES alisema wapinzani tutawadunda sindano, ni kijana

Vijana wa CCM tupo?
kimeumana !
 
We Ni wakupuuzwa,, dikteta alikuwa anakiharibu chama chetu na Nchi,,Gambo yupo sawa tu
 
Back
Top Bottom