Wazanzibari hawakutaka mashehe waachiwe kama ilivyotokea. Wameachiwa na watu wasiojulikana kwani hata mawakili hawakutaarifiwa walisikia tu mashehe wa au wateja wenu wameonekana mitaani.
Wazanzibari wanahitaji au walihitaji haki itendeke, mahakama iliyopewa dhamana iendeshe kesi kililahi bila ya kupendelea au kufanya uonevu, ushahidi na mashahidi wote wawepo.
Kila kukicha Wazanzibar walikuwa wanasema wanachotaka ni kesi imalizike na hukumu itolewe ikiwa minus au plus, na sio hii historia ilioandikwa na watu wasiojulikana, wameachiwa tu burebure na kuwapa vitisho kuwa watulie.
Hapaaaanaa liwe liwalo, mawakili waingilie kati ili haki itendeke.