Mkutano Maalumu wa SADC watambua mchango mkubwa wa John Pombe Magufuli

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,651
18,021
Mkutano maalumu wa wakuu wa nchi za SADC wametoa salamu za rambi rambi na kutambua mchango mkubwa wa Magufuli kwenya bara la Afrika.

Soma sehemu ya taarifa ya pamoja ya kikao hicho inayohusika. Ukitaka taarifa yote ingia kwenye tovuti rasmi ya SADC.
Summit also expressed heartfelt condolences to Dr. Magufuli’s family, Her Excellency President Samia Suluhu Hassan, the Government and the People of the United Republic of Tanzania on the passing of His Excellency Dr John Pombe Joseph Magufuli, the 5th President of the United Republic of Tanzania, a Visionary leader who championed the development of Africa.

The removal of sanctions on Zimbabwe and the introduction and recognition of Kiswahili, a language which was used during the liberation struggle; and stood for the political and economic independence of the Continent, and the use Africa’s natural resources for the benefit of its peoples.
 
Masahihisho kwenye kichwa cha uzi: Ni rais wa awamu ya tano (siyo awamu ya sita)
 
Watu wametuma salamu za rambirambi
Wewe unasema wametambua mchango wake
Mi nikuulize huo mchango ni upi!?
 
Yaani mtaokoteza vi habar vya kumsafisha Ibilisi mwenda kuzimu lakini hasafishiki ng'oo. Alikuwa na muda wa kutengeneza maisha yake akiwa hai lakini hakufanya.
Tutamkumbuka kwa mauji, utekaji utesaji na ukatili wake.
Tunamshukuru Mungu amemuweka mahali salama hko kuzimu.
 
Mkuu
Jibu swali
Huo mchango ni upi?
Yameorodheshwa kwenye uzi ndg.

1624476119216.gif


1624476143928.gif
 
Mkutano maalumu wa wakuu wa nchi za SADC wametoa salamu za rambi rambi na kutambua mchango mkubwa wa Magufuli kwenya bara la Afrika. Soma sehemu ya taarifa ya pamoja ya kikao hicho inayohusika. Ukitaka taarifa yote ingia kwenye tovuti rasmi ya SADC.
Summit also expressed heartfelt condolences to Dr. Magufuli’s family, Her Excellency President Samia Suluhu Hassan, the Government and the People of the United Republic of Tanzania on the passing of His Excellency Dr John Pombe Joseph Magufuli, the 5th President of the United Republic of Tanzania, a Visionary leader who championed the development of Africa, the removal of sanctions on Zimbabwe and the introduction and recognition of Kiswahili, a language which was used during the liberation struggle; and stood for the political and economic independence of the Continent, and the use Africa’s natural resources for the benefit of its peoples.
So?🤷🤷🤷
 
Yaani mtaokoteza vi habar vya kumsafisha Ibilisi mwenda kuzimu lakini hasafishiki ng'oo. Alikuwa na muda wa kutengeneza maisha yake akiwa hai lakini hakufanya.
Tutamkumbuka kwa mauji, utekaji utesaji na ukatili wake.
Tunamshukuru Mungu amemuweka mahali salama hko kuzimu.
hakuna tawala zilizoua watu wengi katika nchi hii kama tawala za mkapa & kikwete wala magufuli hawafiki hata robo, tunajua mnachuki binafsi kwa magufuli sababu aliwabana vyema kwenye madili yenu ya ufisadi, madawa, vyeti feki, wafanya kazi hewa na nk...
 
AU,SADC ....... ni Club za kupoteza muda,bado hazina impact ya maana kwa maendeleo ya nchi na wananchi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom