Ikitokea Mteuliwa ni Mpagani, sheria inasemaje juu ya kiapo chake?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Wadau kuuliza sio ujinga ni kutaka kujua.

Endapo mteuliwa ni MPAGANI ina maana asiyeamini Uwepo wa Mungu na Vitabu vya Viapo ni Viwili Quran na Biblia, mteuliwa huapa kwa Kutumia Kitabu gani au huandaliwa kiapo Maalumu?
 
Wadau kuuliza sio ujinga ni kutaka kujua.

Endapo mteuliwa ni MPAGANI ina maana asiyeamini Uwepo wa Mungu na Vitabu vya Viapo ni Viwili Quran na Biblia e mteuliwa uapa kwa Kutumia Kitabu gani au huandaliwa kiapo Maalumu?
Waislam pia huwa hawaapi huwa wanathibitisha
 
Back
Top Bottom