Kwanza napenda kumpongeza mama yetu mpendwa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya.
Kitu kingine ningeomba sana mshahara wa Rais upandishwe tena uwe angalau kama enzi ya Rais...
Naomba kumshauri Rais kwamba kwa mtazamo wangu Ni vigumu kupata wawekezaji walio serious kuja kuwekeza nchini kwa sababu nchi yetu haina mfumo mzuri wa kisheria na kikatiba. Haki Tanzania...
Specifically naongea na wanaodai kwamba hakuna uhuru wa kufanya mikutano ya kisiasa. Rais kasema hajazuia mikutano yenu ya wanachama wenu ndani ya chama. Wabunge wafanye kwenye maeneo yao pia...
Huwezi kujenga uchumi bila utawala bora na huwezi kuwa na utawala bora bila utawala wa sheria, na huwezi kuwa na utawala wa sheria kama hauheshimu haki za binadamu na uhuru wa mahakama!
Na...
Wadau naomba kujua yafuatayo juu ya sifa za kuteuliwa Ukuu wa Wilaya na KAZI za MKUU wa WILAYA.
1. Elimu
2. Umri
3. Ujuzi
4. Itikadi
5. Uzoefu
Ili tusiwalaumu walioteuliwa kumbe wanasifa sahihi...
Habari zenu wanaJF, Kazi nyingi zina sifa zake ili mtu aweze kuajiriwa
Mfano kuna baadhi ya Position za uhasibu zinahitaji CPA, Ugavi CSP
n.k
(a) Naomba kujua ili mtu awe mkuu wa Mkoa ni sifa...
Baada ya jana Rais kuulizwa maswali ya kimtego na kuyajibu kiholela, ni dhahiri inahitajika nguvu kidogo tu kupata yale tuliyoyapigania kwa miaka mingi.
Hadi sasa raisi kishaonyesha hana nguvu ya...
Mambo ni zaidi ya moto, Mama anaupiga mwingi sana. Nilijua na najua kuwa Mama Samia ana akili nyingi sana Ila sikujua kwa kiwango hiki. Ana IQ kubwa sana.
Kitendo cha kukataa mabaradhuli...
RAIS John Magufuli ameutaka uongozi wa Mkoa wa Mwanza na TAKUKURU, kuhakikisha kuwa watu waliopora mali za Chama cha Ushirika cha Nyanza (NCU), wanapatikana na kuzirudisha mali hizo mara moja...
SIMON GROUP CO.LTD inayojitambulisha kununua shirika la usafiri Dar es Salaam ni wawakilishi wa viongozi wa Tanzania katika kufisadi mali za Umma.
Anae jitambulisha kama Robert Simon Kisena ambae...
Nawasihi Watanzania wenzangu tuendelee kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Korona (Uviko-19) kama tunavyoelekezwa na wataalamu wetu wa afya.
Tunawe mikono kwa maji tiririka na sabuni, tutumie...
Kauli ya Mkuu wa nchi ya kwamba kazi ya Uraisi ni ngumu inaturudisha enzi za mwendazake maana na yeye alikuwa akitamka mara kwa mara kauli hii.
RAIS Samia ameweka wazi ya kuwa pamoja na ugumu...
Niliwahi kuandika hapa jukwaani na ntazidi kuandika. Ukitaka kukuza uchumi wa nchi tengeneza mazingira ya watu kujisikia wapo huru, hawabughudhiwi, wanajiskia kutendewa haki, hata uzalendo wa...
Katiba Day ni siku ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeandaa kongamano la kujadili umuhimu wa kuwepo kwa Katiba Mpya itakayotokana na Raia wote, pamoja na mjadala huo pia...
Siyo siri, nchi ilikuwa katika sintofahamu, hofu na ahadi ya ufukara kwa nchi na mtu mmoja mmoja.
Matokeo ya uongozi wa Mwendzake.
Kitu cha kwanza Mam Samia kaondoa ni hofu.
Hofu ilikuwa ya ya...
Uchaguzi ulikwisha.
Na kwa bahati mbaya sana Mungu alimpenda zaidi tuliyempenda, hivyo sio vema kuendelea kuona sura yake ikipiga kampeni kwa picha zile za unyenyekevu.
Kwa Dar es Salaam hili...
Kuna Uzi nilisema humu NI vigumu kufikia malengo ya Democrasia na utawala wa Sheria ata 80% kwa utawala wa Mama yetu pendwa japokuwa NI kiongozi mzuri na sio muumini wa utawala wa kimabavu.
Swala...
Mama akiongea jana na wana habari alikumbusha kuwa alikuwa pale kwa maongezi zaidi wala hakupenda iwe hotuba.
Mama alikuwa pale kubadilishana mawazo.
Mama ni mwana diplomasia mahiri. Anajua...
Wasalaam,
Leo tarehe 28 Juni 2021 Mahakama amemuachia huru aliyekuwa mtuhumiwa wa kosa la kuuza madawa ya kulevya.
Sitagusia juu ya kesi au namna ushahidi ulivyotolewa ila nataka kuongelea...
Hongereni kukutana na Mhe. Rais. Hongereni kupata vinywaji Ikulu.
Hakika hamkujipanga,mlitakiwa wahariri mkutane kwanza muandae maswali Magumu na mazuri na mngegawana maswali na majina mngempa MC...