Habari Wakuu,
Katika harakati za kudai Katiba Mpya kutoka kwa watawala, napendekeza moja ya mkakati ni tuwe na siku maalumu ya kitaifa kila mwaka ambapo tutaitumia siku hiyo kutoa elimu kwa umma...
Kwenye list of shame 2012 na Yusuph Manji mlimtaja. Mkaja mtaja pia kuwa ni Fisadi Papa.
Mlihusika sana kumchafua mfanyabiashara wa watu. Mkahusisha na Madawa ya kulevya.
Mwaka 2015-17 (kama...
Demokrasia kungojea uchumi ni kosa la karne kutamkwa na kinywa cha mheshimiwa Mama. Ni mshituko mkubwa kwa wapenda demokrasia mchini na Duniani kote.
Kwa muonekano wa sura iliyojawa na busara...
Katika kuendeleza slogan ya mama yetu mpendwa mama Samia ya kazi iendelee. Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mh.Nikki wa Pili ameanza kazi kwa kishindo kikubwa.
Ametembelea miradi ya afya, ujezi...
Novemba 16, 2018 katika kijiji cha Namunda kilichopo kata ya Mkoreha nilitoa salaam za pongezi kwa niaba ya wakazi wa Tarafa ya Mihambwe kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk...
Rais wa Jamhui ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akutana kuzungumza na waandishi wa habari Ikulu, Dar es Salaam leo Juni 28, 2021
Updates:
Deodatus Balile, Mwenyekiti - Jukwaa la...
Wanabodi,
Naomba kuanza na lile angalizo langu la siku zote, kwenye mazuri napongeza, kwenye mabaya nakosoa, kwenye maovu nalaani, na kwenye mapungufu natoa ushauri wa bure.
Andiko hili ni la...
Ndugu zangu,
Ajizi nyumba ya njaa kwa wenye uelewa na mambo ya serikalini leo ndio mwisho wa mwaka wa hesabu za serikali hivyo maafisa masurufu yawapasa warudishe pesa zote zilizopangwa kutumika...
Katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ambayo mh rais aliapa kuilinda inatoa nafasi ya vyama vyote kufanya mikutano ya hadhara kuzungumza na wanachama wao.
Kauli ya mama ya...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo Jumatano 30 Juni 2021 ameongoza kikao kazi cha wadau 28 kutoka katika taasisi...
Kwa mda mrefu mjadala wa katiba mpya umekuwa ukitumia pesa nyingi lakini masilahi ya vyama badala ya utaifa kwanza umekuwa kikwazo kupata katiba mpya.
Yupo mzalendo Warioba ambaye akiongezewa...
Kisa kizima kinapatikana hapa 1 Wafalme 13:1-34
Kwa ufupi sana, Mfalme Yeroboamu alimtenda MUNGU dhambi, na dhambi hii ilipozidi kuwa kubwa MUNGU akamwinua Nabii MWINGINE ambaye alikwenda hadi...
Nahisi kama tuna bahati mbaya sana ya kupata viongozi wasio na maono (vision). Tumejidai kupima mafanikio ya Rais ktk siku 100.
Huwa haitegemei mambo yanayoonekana ktk siku 100, muhimu huwa ni...
Zanzibar(Unguja&Pemba)
1. Eneo 2654 km2
2. Idadi ya wabunge 50
3. Kiasi cha fedha milioni 500*50
Sawa na bilioni 25.
Mkoa wa Pwani
1. Eneo 32407 km2
2. Idadi ya wabunge 09
3. Kiasi cha fedha...
Karibu majina ya mitaa au viwanja vya ndege huwa yanatolewa na watu waliopo kuwaenzi watu fulani kwa michango yao. Mfano uwanja wa Benjamin Mkapa ulipata jina baada yya Rais wa awamu ya pili...
Ndugu wafanyakazi na watu wote wenye mapenzi mema mliojiunga na mifuko mbali mbali ya hifadhi za jamii kwa lengo la kujiwekea akiba ya siku zijazo; Serikali yenu imepuuzia maoni ya Kambi Rasmi ya...
Je, ungepata nafasi ya kumshauri Rais kuhusu kuleta wawekezaji ungemshauri alete wawekezaji wa viwanda gani.
Toa maoni yako, hapa.
Maoni yako ni muhimu.
DC JOKATE MWEGELO: TAA ZA KISASA KUWEKWA ENEO LA NJE MKABALA NA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA TEMEKE.
MKUU wa Wilaya ya Temeke, Mhe Jokate Mwegelo ametanabaisha dhamira yake ya kubadilisha taswira ya...
Tukubaliane tusikubaliane Rais Samia kashakubali mradi wa Bagamoyo kwa masharti aliyoyakataa Magufuli na ambayo Kikwete aliyakubali. Kwa hivi sasa ni kiini macho kinafanyika. Watatumwa watu...