Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Ajizi nyumba ya njaa kwa wenye uelewa na mambo ya serikalini leo ndio mwisho wa mwaka wa hesabu za serikali hivyo maafisa masurufu yawapasa warudishe pesa zote zilizopangwa kutumika lakini hazijatumika.
Ipo siku isiyo na jina ambayo wafuasi wa Chadema watagundua kuwa walichangishwa pesa huku wakihadaiwa kuwa cheamanj kasusa kumbe "kishawapiga".Wakati ni huu, kesho ikifika mshachelewa. Mtalia! Mtalia! Mtalia!
Kuna kila viashiria ruzuku ya hadi tarehe ya leo 30.06.2021 "imevutwa",wanapangusa midomo huku wakichekea tumboni.
Tuimarishe uchumi kwanza.