Rais Magufuli azidi kupongezwa

Rais Magufuli azidi kupongezwa

wandamba

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
510
Reaction score
839
Novemba 16, 2018 katika kijiji cha Namunda kilichopo kata ya Mkoreha nilitoa salaam za pongezi kwa niaba ya wakazi wa Tarafa ya Mihambwe kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli kwa uamuzi wa kihistoria wenye kuacha alama isiyofutika kwa kuamua kununua Korosho zote za Wakulima pasipo Mkulima kukatwa pesa yeyote ile kwenye malipo hayo. Ni uamuzi wenye tija ya kumkomboa Mkulima wa Korosho kiuchumi. Kwa dhati kabisa Wakulima wa Korosho wanamshukuru na kupongeza sanaa sanaa Rais Magufuli.

- Emmanuel J. Shilatu
Gavana Mihambwe

#Mataga
#MihambweMpya
#hapakazitu
FB_IMG_1542536389788.jpeg
FB_IMG_1542536398929.jpeg
 
Hilo jimbo la muhambwe liko katika nchi gani Ulaya au ni la Marekani? Kwa kuwa najua tanzania hatuna magavana, na pia ccm walipinga sera za majimbo za chadema
 
Mkuu huyo ni Afisa Tarafa.. wanamua kujiita Magavana baada ya kuona Afisa tarafa ni kama cheo flani ambacho kipo underated..
 
Novemba 16, 2018 katika kijiji cha Namunda kilichopo kata ya Mkoreha nilitoa salaam za pongezi kwa niaba ya wakazi wa Tarafa ya Mihambwe kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli kwa uamuzi wa kihistoria wenye kuacha alama isiyofutika kwa kuamua kununua Korosho zote za Wakulima pasipo Mkulima kukatwa pesa yeyote ile kwenye malipo hayo. Ni uamuzi wenye tija ya kumkomboa Mkulima wa Korosho kiuchumi. Kwa dhati kabisa Wakulima wa Korosho wanamshukuru na kupongeza sanaa sanaa Rais Magufuli.

- Emmanuel J. Shilatu
Gavana Mihambwe

#Mataga
#MihambweMpya
#hapakazituView attachment 938466View attachment 938467
Soma hapa we nyau:
EDITORIAL: Tanzania fast becoming an uninvestable basket case
 
Sasa hicho kijiji kimoja tu imekuwa issue tena kiduchu
 
wakulima wananyonywa, wakulima wanapuuzwa, wakulima wamedharauliwa kwa muda mrefu mno. heko RAIS kwa kuwafuta machozi. ni mwanzo mzuri.
 
Wangeanza na Zitto maana isingekuwa yeye ndie aliyemtetemesha jiwe wala hizo korosho zao zisingenunuliwa.

Zitto ni shujaa kwa hili
 
wakulima wananyonywa, wakulima wanapuuzwa, wakulima wamedharauliwa kwa muda mrefu mno. heko RAIS kwa kuwafuta machozi. ni mwanzo mzuri.
Amewafuta machoz kwa kununua korosho? Ni mazao mangapi watz wanahangaika hamna soko hao wakulima wa korosho ni idadi ndogo ukilinganisha na watanzania wote
 
Hata Mimi nampongeza sana Mheshimiwa Rais kwa huu Uamuzi wake na hasa hasa hapo alipoamua kuwa Mkulima atapata Pesa yake yote bila Kukatwa hata senti moja. Ila tatizo langu lipo sehemu moja kama siyo mbili kwamba Serikali imejipangaje kwa minada ijayo hasa ukizingatia ya kwamba Uamuzi wake huu umekuwa ni kama vile wa ghafla au Kukomoana kwa upande fulani na pia kuna Makampuni mengi tu yaliingia Ubia na hawa Wakulima tena wakiwa na Makubaliano ' Maalum ' ya Kulipwa pale mauzo yakifanyika lakini pia kuna Shughuli zingine za Kiuchumi zilikuwa zikiendelea hasa katika Misimu hii ya Minada ya Korosho je mazingira yote haya Serikali itatatuaje ili kuleta maridhiano ya Kudumu na kuondoa manung'uniko huko mbeleni / tuendako?
 
GENTAMYCINE hata na wewe upo kwenye uelewa huu?
Crop Marketing haiko hivyo hata kwenye Vyama vya Ushirika au Vijiji vya Ujamaa havikuwahi kufanya jambo km hilo
ukinunua mazao kwa Mkulima, kuna gharama za kubebaji, utunzaji wa stoo, magunia, kupima mzigo uwe angalau kwa standard ya 100kg upakiaji na usafir
sawa Jeshi litasafirisha, sasa subiri waliopiga kibega kuitunza stoo na viroba
maana Mkulima kalipwa zake kaondoka
 
Kwani ulitaka niwe katika Uelewa upi labda?
 
GENTAMYCINE hata na wewe upo kwenye uelewa huu?
Crop Marketing haiko hivyo hata kwenye Vyama vya Ushirika au Vijiji vya Ujamaa havikuwahi kufanya jambo km hilo
ukinunua mazao kwa Mkulima, kuna gharama za kubebaji, utunzaji wa stoo, magunia, kupima mzigo uwe angalau kwa standard ya 100kg upakiaji na usafir
sawa Jeshi litasafirisha, sasa subiri waliopiga kibega kuitunza stoo na viroba
maana Mkulima kalipwa zake kaondoka
Mkuu keshasema watalipana kwa wakati wao.
 
Back
Top Bottom