Zitto: Mbowe ni Kiongozi wangu, Tusameheane

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,870
"Mbowe siku zote amekuwa kiongozi wangu na siwezi kubeza nafasi yake ktk kujenga demokrasia nchini. Tulipishana. Tulikoseana. Tusamehane"....Zitto Zuberi Kabwe

Hayo ni maneno ya ZZK katika Account yake ya facebook
 
zzk.jpg
 
"Mbowe siku zote amekuwa kiongozi wangu na siwezi kubeza nafasi yake ktk kujenga demokrasia nchini.Tulipishana.Tulikoseana.Tusamehane"....Zitto Zuberi Kabwe
Hayo ni maneno ya ZZK katika Account yake ya facebook
Cc mcubic
Cc MOTOCHINI
Cc Vibaraka wote
 
Ngoja tuone maturity ya Mbowe katika majibu yake.
Kusameheana haina ulazima wa kuja kushirikiana! Bali ni kuondoa ukakasi uliotokea katika hali ya kibinadamu.
Kushirikiana ni majaaliwa!
 
YES...!!!!!!!Naona huko bungeni this time kutaibuliwa mengi.Wapi Kafulila....wapi Machari...wapi Wenje.Tuombe Kafulila ashinde arudi bungeni.Tunahitaji maendeleo siyo Taarab ya mipasho bungeni.
 
"Mbowe siku zote amekuwa kiongozi wangu na siwezi kubeza nafasi yake ktk kujenga demokrasia nchini.Tulipishana.Tulikoseana.Tusamehane"....Zitto Zuberi Kabwe
Hayo ni maneno ya ZZK katika Account yake ya facebook
hihihih vipi nanihii kimekosa mwelekeo?
 
Mkoa wa Kigoma mmetuleti dauni thisi taimu! Tumemisi sana wabunge wetu wa NCCR!
 
Mkuu vipi na wewe umempokea Yuda Zitto
Watakua wamefanya vizuri kwani hii dunia sio ya kuwekeana visasi na vinyongo..
Watu hukosana watu huelewana na maisha yanaendelea.
Bado wale waliojijazia chuki dhidi ya E.L.
 
Mwami Ayatollaah sio mtu wa kumuamini hata kidogo
Ameandika Barua kuomba ahamishiwe Kamati ya Mashirika ya Umma tayari.
Kumbuka kamati ya Mwanzo ya Mambo ya Jamii alijidai kuipokea kwa Mikono miwili na kuahidi kufanya nayo kazi
 
Back
Top Bottom