G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,593
- 36,012
Kuna taarifa kuwa mradi huu ulikumbwa na ufisadi mzito na malengo yalikuwa ni yaleyale kusaidia kampeni za urais za CCM mwaka 2015!
Ufisadi huu wiki ijayo utafumuliwa na serikali hii ya awamu ya tano na nne zitabaki uchi kabisa! Sifa za watu zitatoweka na mambo yataanza upya!
Tuweke subira hadi hapo mambo yote yatakapowekwa bayana! Fedha hizi kuna watu walizitumia ili kugharamia kampeni za chama pendwa! Kwa hakika kutakuwa na mtikisiko mkubwa! Ila mimi ninachojiuliza, kuiba imekuwa jadi yao kila uchaguzi mkuu?