Kwenu Halmashauri ya Morogoro (V)

The Hyper

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,719
983
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Naandika hili kuwakumbusha juu ya jambo moja kati ya mengi yaliyo kwenu;

¶Limetoka agizo la kupandisha vyeo watumishi wenu wote wanaostahili lakini mnajivutavuta hadi sasa. Payroll ya mwezi huu kwa
watumishi wenu hakuna mabadiliko.

¶Kwenu wahusika katika idara zote;

Je, mmvumiliwe hata lini?

Je, mmenia kuifarakanisha serikali&watumishi wake?

Au mnataka mmalize vibaya?
Wasalaam!!
 
Unaweza ukawalaumu wagawawaji wa chakula, kumbe tatizo lipo kwa wapishi jikoni! Sisi mbona kwenye Halmashauri yetu wachache wamepandishwa, na wengi tumeachwa!!!
 
Back
Top Bottom