Bagamoyo Port construction set to kick off in January 2018. China and Oman to fund the project

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
30,057
Points
2,000

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
30,057 2,000
Taarifa hii nimeisikia kwenye kipindi cha magazeti asubuhi ya leo.

Kila la heri wakazi wa Bagamoyo

======

Tanzania is finalising negotiations with China and Oman over the construction of Bagamoyo Special Economic Zone (SEZ) and the $10 billion (about Sh22.3 trillion) Bagamoyo Port, a minister has said.

Speaking on sidelines of a symposium on Sino-Tanzania investment opportunities in Dar es Salaam on Thursday, the minister for Industry, Trade and Investment, Mr Charles Mwijage, said the plan was to complete the negotiations next month to pave the way for implementation of the project.

"If all goes well, construction of the special economic zone will kick off in January," he said, adding, "the time frame proposed is to have the projects completed by 2022."

Mr Mwijage also said by the set date, 190 factories, including those for fertilizer making and fish processing would have been constructed.

Upon completion, the SEZ will attract 700 factories and become a strategic investment zone in East Africa. The project is backed financially by China Merchants Holdings International (CMHI), China's largest operator, and Oman's State General Reserve Fund.

According to Mr Mwijage, the Bagamoyo Port, once completed would be the largest in East Africa.

It will be able to handle megaships (vessels carrying 8,000 of 20 feet equivalent units containers) after the first phase is completed, with room for expansion.

The port, which is about 75 kilometres from the commercial city, Dar es Salaam, and 10 kilometres from of Bagamoyo town, will have new roads, railways and the economic zones. The port and its industrial zone are designed to address congestion at the old port and make Tanzania East Africa's leading shipping and logistics centre.

CMHI says that among the projects envisioned for the zone are industrial parks worth $120 million, a $70 million tourism park and free port facilities ($90 million).

Also in the pipeline are, a free trade zone ($70 million), science and technology parks ($50 million), an international business centre ($70 million) and industrial buildings ($20 million).

The Bagamoyo Port which incorporate proper infrastructure, including roads and electricity, will supplement the government's drives of becoming middle income nation come 2025, according to Mr Mwijage.

Going by Tanzania Investment Centre (TIC) statistics, by the end of June last year, Chinese investment in Tanzania stood at $6.62 billion (Sh14.7 trillion), with about 600 Chinese companies operating in the country.

Chinese investments are in agriculture, tourism and information, communications and technology, creating around 150,000 jobs in direct employment and with a total of around 350,000 people engaged in trade between the two countries.
 

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Messages
17,377
Points
2,000

JokaKuu

Platinum Member
Joined Jul 31, 2006
17,377 2,000
..utawala wa JK walisaini mkataba utakaowezesha Tz kuwa na kiasi cha hisa ktk bandari mpya.

..hisa hizo zingepatikana kama serekali ingetoa fedha kulipa wananchi waliopoteza ardhi zao ili kupisha mradi.

..serekali ya Magufuli imeshindwa ku raise pesa za kufidia wananchi na hivyo kupelekea kupoteza hisa za Tz ktk mradi.

..Wachina watamiliki bandari ya Bagamoyo kwa miaka 30++ kabla hawajaikabidhi kwa Tz.

..nina wasiwasi mbele ya safari tutaanza kulalamika kwamba tunaibiwa kutokana na kusaini mkataba mbaya.

NB.

..kama sijakosea aliyeleta mradi huu ni Waziri Mkuu Pinda alipofanya ziara China.

Cc Richard, Nzi
 

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
13,384
Points
2,000

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
13,384 2,000
Sijui kwanini nina wasiwasi sana sana na huu mradi.. I feel the country will be robbed by Chinese, sijui serikali itapata nini katika huu mradi mkubwa sana sana.. Je shares za serkali ni kiasi gani?

Nina wasiwasi bado sana, nategemea Mh. Rais wetu ataliweka wazi hili, sbb mchina ukimwachia aendeshe hii bandari for 50 yrs for free kama tulivyosikia awali, then ndio serikali ichukue, kheri kabisa isijengwe...

Wachina watatufilisi nchi yetu, naweka wazi kabisa wasiwasi wangu ni mkubwa sana ktk huu mradi
 

Waterloo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Messages
17,557
Points
2,000

Waterloo

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2010
17,557 2,000
hivi wananchi tushike lipi? mlipoingia ikulu tu Ikatangazwa ujenzi umesitishwa na serikali ya awamu ya Dikteta uchwara. leo mnakuja na stori ya ujenzi kuanza januari 2018 hivi mna mipango kweli nyie nzi wa kijani?
 

Wakusini

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2011
Messages
660
Points
1,000

Wakusini

JF-Expert Member
Joined May 28, 2011
660 1,000
Nchi haiendeshwi kama vicoba.huwezi kuniambia nishike linalonihusu kama wameshindwa kuongoza wakae pembeni.
CCM imechokwa nchi nzima
Eti nchi mzima kalagabaho!!! Mshukuru na ivyo viruzuku mnavyopata vinawapa nguvu ya kufyatuka humu ila nyie sio mbadala kabisa.
 

Forum statistics

Threads 1,380,354
Members 525,767
Posts 33,770,844
Top