Picha na Habari: Siku ya kwanza ya Rais Magufuli akiwa ofisini Ikulu

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,172
23,974
American statesman and a retired four-star general in the United States Army, Colin Powel once said, ''There are no secrets to success. It is the result of preparation, hard work, and learning from failure''.

He also went further and said, ''A dream doesn't become reality through magic; it takes sweat, determination and hard work''.

President Magufuli is living the dream!

1gbbb.jpg
 
American statesman and a retired four-star general in the United States Army, Colin Powel once said, ??There are no secrets to success. It is the result of preparation, hard work, and learning from failure??.

He also went further and said, ??A dream doesn't become reality through magic; it takes sweat, determination and hard work??.

President Magufuli living the dream!

Don?t forget, Lowassa is also living the dream as herdsman in Monduli!

1gbbb.jpg

naona kuna landline hapo mezani? naomba namba
 
Na Kazi Aifanye Ionekane Kwa Watu Wote Siyo Kwa Wachache Maana Vyama Havina Nafasi Zaidi Nafasi Kwa Tanzania
 
MsemajiUkweli hukuwa na haja ya kumtaja Lowassa. The man is probably wealthier than your whole clan combined. Live your life and let him live his. Whether anafuga ng'ombe au kuku it's none of your business.
Plus, kuhusu hardwork....hardwork gani? Ya kuhujumu demokrasia?
 
Last edited by a moderator:
MsemajiUkweli hukuwa na haja ya kumtaja Lowassa. The man is probably wealthier than your whole clan combined. Live your life and let him live his. Whether anafuga ng'ombe au kuku it's none of your business.
Plus, kuhusu hardwork....hardwork gani? Ya kuhujumu demokrasia?


Kama utambui uchapakazi wa magufuli wewe ni mzigo tu ,ushauri wangu Fanya kazi utatoka lakn ukiishia kulalamika wakati hakuna kazi unafanya jiandae kuwa masikini tu adi mvi kichwani
 
Last edited by a moderator:
Du mbona Pc imezimwa?kweli ndio mana hatusongi kila kitu to manual....

Unapopitia nyaraka mbalumbali kuna haja ya PC, SMS kwako kuna mambo lazima yawe manual kwa maana ya usalama ya a,k,a udukuzi,
 
MATARAJIO YANGU KWA JOHN POMBE MAGUFULI
Baada ya kuapisha kuwa Rais wa awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 05.11.2015 (10:49 A.M), mimi kama raia wa Tanzania nina matarajio yafuatayo kwa Mh. Dr.John Pombe Magufuli.
? Kutatua haraka tatizo la Zanzibar lililotokana na ZEC kufuta uchaguzi pasipo na sababu za Kimsingi.Hii ni hatari kwa mustakabali wa Taifa na Wananchi wake.
? Kuwaunganisha Watanzania ambao wametofautiana kutokana na Vyama vya siasa kuwagawa kwa misingi ya itikadi za vyama,dini,makabila na ukanda wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba,25,2015.Makovu haya ni mengi na kwa watu wote sehemu zote.
? Kuinua ari ya uwajibikaji na uchapakazi Serikalini na watu binafsi na Viongozi wote watakaozembea wawajibishwe mara moja.
? Kuboresha huduma za afya katika Hospitali zote nchini na Zahanati na kuepuka Viongozi kwenda kutibiwa nje ya nchi.
? Kuhakikisha kila anayepaswa kupata elimu anaipata na hatimaye kufuta ujinga ambao umekithiri sana hivi karibuni.(Rejea kura nyingi kuharibika)
? Kuwashughulikia wote waliohusika na watakaohusika na rushwa (Matumizi mabaya ya Ofisi na mali za Umma kwa manufaa yao binafsi)
? Kuboresha Viwanda vilivyokuwepo kwa kuvipatia ruzuku na kuondoa mlolongo wa kodi na michango ambayo badala ya kuviendeleza huviumiza zaidi.
? Utatuzi wa matatizo ya wakulima uwe wa kweli na wenye tija.Matatizo kama pembejeo,masoko,mitaji n.k huwarudisha nyumba sana wakulima na hatimaye Taifa.
? Ajira kwa Vijana ambao wanamaliza shule na vyuo. Kuiunua viwanda,kufufua kilimo,kukomesha rushwa,uwajibikaji na elimu za ufundi kwa pamoja zitatoa ajira kwa vijana.
? Kutokomeza umaskini wa kipato kwa wananchi wa hali ya chini kwa kufufua kilimo,kutoa ajira,kukomesha rushwa na kutoa huduma safi za afya.
? Kupunguza pengo kati ya wenye nacho na wasionacho (Tajiri na Maskini) kwa kupunguza mianya ya unyonywaji kwa wasionacho.
Ni matumaini yangu kila Mtendaji atatoa ushirikiano mkubwa katika kufanikisha haya na JPM atafuatilia kwa ukaribu watendaji wasio na tija wenye nia ya kuendekeza ulaji na upigaji wa madili badala ya kuleta maendeleo.
 
Jamaa ana hamu.........na hilo ndio la muhimu

Kuna utofauti wa MTU anayetaka kwenda ikulu kwa sifa na anayetaka ikulu kwa kuwafanyia kz watanzania
Angekuwa mwingine yule shereha zingekuwa bado zinaendelea, Mara za matafiki,Mara ukoo haijawai kutokea kuwa na rais, ujinga mtupu,
 
Na Kazi Aifanye Ionekane Kwa Watu Wote Siyo Kwa Wachache Maana Vyama Havina Nafasi Zaidi Nafasi Kwa Tanzania
Ninakubaliana na angalizo lako!

Tunataka kazi yenye mafanikio kitaifa aifanye kwa faida ya watanzania wote.
 
MsemajiUkweli hukuwa na haja ya kumtaja Lowassa. The man is probably wealthier than your whole clan combined. Live your life and let him live his. Whether anafuga ng'ombe au kuku it's none of your business.
Plus, kuhusu hardwork....hardwork gani? Ya kuhujumu demokrasia?

kaka nimeipenda hii comment yako,huyu msemajiukweli zi zuzu sana,unajua lowasa alichokifanya ni jambo la kijasiri sana na ukweli yeye ndo aliyeshinda urais na ataendelea kuwa rais wa miyoyo ya watanzania,atapambana nje ya serikali na siku moja utakuja elewa tuna maana gani,na ukitaka kujua kwamba huyu jamaa yuko vizuri,angalia hata mke wake amepewa ubunge wa viti maalum amekataa,so hawa watu hawana njaa,hawafanyii kazi shida
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom