Mikutano ya hadhara sio ruksa, ya ndani ruksa

Mikutano ya hadhara sio ruksa, ya ndani ruksa

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
21,484
Reaction score
34,223
Hapa mama anazidi kunifurahisha, kwa sasa nchi yetu inahitaji kupaa kiuchumi na sio kupiga kelele za kisiasa. Wanaoruhusiwa ni wabunge tu kwenye maeneo yao na si vinginevyo.

Ngojeni kwanza tupae kiuchumi, wawekezaji waje wengi. Kama chama hamna wabunge fanyeni vikao vyenu vya ndani.
Mama kanyaga twende.
#kazi iendelee#

 
Mama akikutana na akina Mbowe atabadilisha msimamo wake.

Hii kusema mpk uchumi ukae sawa nadhani mama anatumia jiwe methodology.

Tutampinga kwa nguvu zetu zote. Mama kwa hili abadilike. Uchumi haupandi kwa kuzuia mikutano ya hadhara.

Mwendazake alikuwa dikteta uchwara, huyu mama ni dikteta laini.
 
Mbona kina Mbowe wiki zilizopita walikuwa wanazunguka tu mikoani?..

Msimamo wa Mama kwenye hili hautakuwa 100pc kama wa fashisti jiwe.
 
Hapa mama anazidi kunifurahisha, kwa sasa nchi yetu inahitaji kupaa kiuchumi na sio kupiga kelele za kisiasa. Wanaoruhusiwa ni wabunge tu kwenye maeneo yao na si vinginevyo...
Yaani Yule shetani Ali wabrainwash vibaya mno kiasi mmeharibikiwa
 
Mama akikutana na akina Mbowe atabadirisha msimamo wake.

Hii kusema mpk uchumi ukae sawa nadhani mama anatumia jiwe methodology.
Kuhusu kukutana na kina mbowe kasema kwa Sasa ana mambo mengi sana
 
Mbona kina Mbowe wiki zilizopita walikuwa wanazunguka tu mikoani?..

Msimamo wa Mama kwenye hili hautakuwa 100pc kama wa fashisti jiwe.
Hiyo ilikuwa mikutano ya ndani na haijawahi kuzuiliwa na hata yeye kasema ni ruksa.
Ila mikutano ya hadhara sio ruksa
 
..mikutano imezuiwa huu ni mwaka wa sita na uchumi haujapaa...
Mkutano uliofanyika ulikuwa na upungufu mmoja mkubwa. Watu kuanza kwa kuuliza maswali yote halafu anajibu na hakuna maswali ya follow up. Nadhani walifanya hivyo makusudi ili kumuokoa kwenye maswali magumu kama hili.
 
Back
Top Bottom